Kuna kila dalili kwamba mawaziri waliotemwa kwenye baraza la JK baada ya muda tutawasikia wakiteuliwa tena wakishika nyadhifa mbalimbali za serikali ndani au nje ya nchi,viongozi hawa wanaonekana...
Wazanzibar wanalalamika wamemezwa na Tanzania Bara, Watanzania Bara (Watanganyika)
wanalalamika kuwa wameipoteza Tanganyika yao na wananyonywa kupitia mwamvuli wa
Muungano wa Tanzania, lakini...
Kamanda kafulila, kama ukimya wako utaendelea hata katika bunge la bajeti mwezi ujao basi ujue utapolomoka sana kisiasa na malengo ya Mbatia na Ccm yake yatakuwa yamefanikiwa kwa 100% na makinda...
Kulikua na kila ulazima wa kuchaguliuwa Mbatia kuwakilisha upinzani maana kwa sasa upinzani umekwisha .wabunge wote wanaagalia maslahi yao 2015. hakuna tena anaetetea uozo au kujikomba wazi wazi...
Hebu tujikumbushe wimbo huu enzi zile tanzania ikiwa na vijiji tajiri na miji yenye viwanda, watz walikuwa wakiimba hivi "chama chetu cha mapinduziie chajengaaa nchiii njerere aa na mwinyi wajenga...
Wadau JF.
Napenda kutoa changamoto ili kuweza kupata mawazo chanya juu ya mustakali wa chama chetu tukipendacho.
Moja ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza sana ni jambo la uwazi na uwajibikaji...
Siamini kama twiga wametoroshwa na kusafirishwa kwenda nje ya nchi bila serikali kujua.
Kinachonifanya nisiamini ni maswali haya:
1. Ni dhahiri kuwa maeneo ambako twiga wanaishi (mbugani)...
Taarifa hii nimeipata kwa jamaa yangu,japo hajanipa sababu za kujiuzulu kwake,so kama kuna mtu ana habari kamili atumwagie hapa.
NAWASILISHA!!!
============
Kwa mujibu wa Bw. Kimolo, miongoni...
Kipindi nilipokuwa darasa la nne mie kama mkatoliki nilisomea mafundisho ya ubatizo,nakumbuka siku ninabatizwa kuna sala ambayo ilibidi tuiseme nayo ni "una mkataa shetani jibu ndiyo na mambo yake...
( Pichani juu Ndugu Mfutakamba akiwa mitaa ya Iringa na picha ya chini alipotembelea Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Ilula kuzindua mradi wa kuifadhi maji ya mvua)
Ndugu zangu,
Ujamaa ni...
Katika kuonyesha kuwa serikali ya JK inafanya kweli, leo asubuhi serikali imeingia mkataba na makampuni ya ukandarasi ya kizalendo 13 kutekeleza ujenzi wa daraja la Mbutu huko Igunga.
Uwekaji...
wanatJF.
Tanzania ilipofikia kilele cha ufisadi ilikuwa kawaida kwa mtu akiteuliwa kuwa Waziri au kupewa dhamana kubwa, anafanya sherehe kuuubwa ya 'kumpongeza'. Je, jambo hili ni sawasawa...
Mh. ZITTO kanena na mimi nanena kuwa hakuna kukusanyika ikulu kesho jumatatu tarehe 7 kwa madhumuni ya kushangilia walioteuliwa kuwa mawaziri. Kama kweli tunaamini hawa tumewabebesha mzigo...
Baada ya kusemwa sana katika mabaraza mawili aliyowahi kuyavunja, nilitetegemea jk ataacha kudili na kundi kubwa lililofanya kampeni chafu za kumwingiza madarakani maarufu kama wanamtandao. Lakini...
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali...
Hoja ya wapinzani inaelekea kupita kwamba wizara ya Ngeleja kuelemewa na vyote nishati na madini.
Waziri mkuu sasa amekubali kwamba hili litapelekwa kwa rais kuangalia kutenganishwa wizara za...
Habari za asubuhi waungwana? Napata shida kukumbuka ni lini nimesikia au kushuhudia mikutano ya hadhara ikihutubiwa na mawaziri wa awamu hii ya nne,naomba kujua kama ipo,imepungua au hakuna kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.