CHADEMA njooni mfungue matawi mkoa wa SIMIYU

tocolyitics

Member
Feb 5, 2012
76
35
katika kuimarisha chama na kujiandaa na 2015, njooni pia hadi vijijini mkoani simiyu. hapo ndipo majimbo kama Busega, Magu, Bariadi mashariki na magharibi mtaweza kuchukua. watu wana hamu kujoin jeshi la ukombozi ili hawawaoni. kumbukeni mtaji wa magamba umebaki vijijini jamani.
 
kweli kamanda, but chama kifanye kazi kimajimbo zaidi kama hoja ya majimbo hilivyo hili wananchi waitambue mapema na kuipendekeza katika katiba mpya hijayo to 2015.
 
kweli kamanda, but chama kifanye kazi kimajimbo zaidi kama hoja ya majimbo hilivyo hili wananchi waitambue mapema na kuipendekeza katika katiba mpya hijayo to 2015.
yah, kweli kamanda lakini viongozi wa juu wanapaswa kuleta hamasa halafu ndo tuendeleze m4c zaidi coz huku chama hakiko popular
 
yah, kweli kamanda lakini viongozi wa juu wanapaswa kuleta hamasa halafu ndo tuendeleze m4c zaidi coz huku chama hakiko popular
Hayo matawi yako tayari ili yaje kufunguliwa au mnangoja viongozi wakuu waje waanze kuyaanda.
 
Back
Top Bottom