Jee kufukuzwa kwa mawaziri walio tuhumiwa na ubazilifu wa mamilion ya umma ukumu yao ndio basi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee kufukuzwa kwa mawaziri walio tuhumiwa na ubazilifu wa mamilion ya umma ukumu yao ndio basi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, May 6, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1][/h][​IMG]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo April 4, 2012. hafla hiyo ilichuhudiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamo wa Rais, Mohammed Gharib Bilal


  Watanzania wengi waana hamu ya kutaka kujuwa hatma ya mawaziri waliotolewa kutokana na ubazilifu wa mamilion ya pesa za umma kuwa baada ya kutolewa nyazifa zao za uwaziri ndio hukumu yao imekwisha au ni hatuwa gani ya pili itakayo fuata?.

  ikiwa hukumu yao itakuwa ni kutolewa tu nyazifa zao huku wakitoweka na mabilion ya fedha za umma, basi itakuwa Jk anatufanyia michezo ya mazingaombwe na kilimacho.
  Hawa watu nilazima hatuwa ya pili wapandishwe kizimbani na kupata muda wa kujieleza sio wakaa e pembeni na mabilion huku wakisema tumefukuzwa lakini tuko inocent kabisa?.

  Sasa wakipandishwa itakuwa watapata fursa ya kujisafisha kama ni wasafi na kama wataonekana na makosa ya ubazilifu wa mali za umma sheria ishukuwe mkondo wake na iwe ni funzo kwa wengine.

  ikishindikana kufanya hivyo basi watakao kuja watageuka Mchwa au Perama watakula madonge kwa muda mfupi tu (chukuwa chako mapema kabla kufukuzwa) kwa hio itakuwa dawa mujarabu bado haijapatikana.

  Inawezekana kufukuzwa kwao mawaziri ni kuficha vivuli vya mabig fishs kwa hio kupandishwa kwao kizimbani kunaweza kufishuwa mengi na kutibu pakubwa kwa Tanzania kwa vile imeandamwa na ufisadi wakudisha.

  Watanzania Jee Kazi ya Kikwete imekwisha? au ni step 1 kwenda nyengine?
   
 2. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Imekwisha na hutasikia lolote tena.
   
Loading...