Dr Mwakyembe fanya hili tukueshim zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Mwakyembe fanya hili tukueshim zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FELIPE, May 5, 2012.

 1. F

  FELIPE Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  nimekuwa najiuliza kwanini serikali haiko serious kufufua reli, jibu nalowaza ni labda mafisadi na watoto wao ndo wamilik wakubwa wa kampuni za usafirishaji hivo ubovu wa reli kwao ni nzuri. kwahiyo dr mwakyembe ukifufua reli barabara zikawa zinasafirisha abiria tu, mimi na watanzania wengi tutkukumbuka.
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Investment inayotakiwa kwenye Reli kwa sasa sio chini ya Billioni 100 maana ni ya mwaka 47, sasa ni wapi hiyo pesa itatoka? Na je tuna credit rating nzuri kiasi gani tuaminiwe tukopeshwe hiyo mijihela?

  Jiulize hayo kwanza kabla hatujaenda kwa Mwakyembe,usije mwisho wa siku ukamtupia lawama bure mzee wa watu
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lt. Gen. Shimbo ana 3tril, waende wakamkope
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa treni ya TAZARA issue ni locomotive tuu so kwa kuanzia wakizifufua chache na kununua angalau ata Mbili na kuboresha maslai ya wafanya kazi you can move a lot of tons.Apo huitaji ata 50 Billons over a short term.
  Ingawa pia lazima atimue top layer pale ili mtindo wa mtu mpanga ahonge ndo apate behewa uishe.
  Licha ya kubeba abiria kuna mizigo mingi sana mfano Mbao bado wachina wataanza fua mkaa kule Ludewa TZR itatumika
  Na akiongea na SATA/ZAM PRES shaba yote ibebwe na TAZARA ili kuokoa uharibifu wa barabara zetu atakuwa amefanya la maana sana.So behewa zaenda na Mbolea zinarudi na shaba FLEET MGT nzuri kwenda na kurudi una hela
  Kwa TRC kazi ni kubwa as reli yenyewe ni TATIZO
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Huyu Mzee magamba yanamtoka mwilini kutokana na misumu sasa unataka umuue kwenye mireli vip wewe!!!!
   
 6. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  *

  Billion 100 US$ au Tshs??
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni mgongano wa kimaslahi wa viongozi wetu. huku anataka kuboresha treni, huku anaanzisha kampuni ya usafirishaji. Hawa hawatakiwi hata kukanyaga maeneo ya reli. Kweli hii ni kazi muhimu kwa Mwakyembe.
   
 8. k

  kajugu Senior Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mwakyembe kati ya mambo mengi wizarani hapo chagua kufa na reli,tutakukumbuka milele
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Binafsi yangu nimeipenda sana hii ya Mwakyembe na Makamba kwa sababu wamepewa mtihani mkubwa sana. Kwa Mwakyembe kule kuna kina Karamagi wanakula mahela tu ya wananchi mizigo ikiingia nchini hivyo kuwa sababu kubwa ya kudhoofika kwa huduma za Bandari Dar. Ufanisi wa Bandari ya Dar umeharibiwa na Ufisadi mkubwa unafanyika huko, hivyo Bandari ya Tanga na Mtwara ziimarishwe kwanza na pamoja na yote haya mkataba wa kampuni ya Kichina ya CCCC upigwe chini nguvu kubwa uhamishiwe Tanga na Mtwara. Reli zote za kati na kaskazini ni muhimu zaidi, ujenzi wake uanze mara moja kwa sababu nchi yetu haiwezi kuendelea hata kidogo ikiwa miundombinu yetu haitaweza kusimama sambamba na mahitaji ya nchi yetu. Usafiri ni nguzo kubwa ya maendeleo ya nchi yoyote ile duniani.

  Kwa Makamba nimefurahi pia kwa sababu huko Voda kuna kina Rostam na EL sasa tunataka kuwaona walkiolipa kodi stahiki tofauti na mawaziri waliopita maana amekuwa mbele sana kukosoa mawaziri wengine. Na maadam ma Naibu waziri ndio huifanya kazi kubwa zaidi ya hata mawaziri wenyewe basi mkulima kapewa jembe..Kazi kwao.
   
 10. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkandara umesahau kauli ya wahenga, "Mchawi mpe mwana amlee"
   
 11. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  By 2010 June, Tanzania tulikuwa na Magari yenye thamani ya Sh Trillion tano! Na unajua sisi ni wanne kuzalisha madini

  Africa if im not mistaken! Tuna coastline yenye over 800km! Unashangaa bilion 100 zitatoka wapi?
   
 12. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hizo bilioni 100 mkuu ni pesa za kitanzania? kama ni za madafu mbona Mkulo ametumia zaidi ya 1.3 trilion ambazo hazikuwa kwenye bajeti? Kama ni hizo tu zipo tu mkuu tusubiri tuone Mwakyembe kama atathubutu kutafuna mfupa uliomshinda fisi...lakini pia si lazima kuifufua yote kwa pamoja twaweza kuanzia mahali fulani hadi sehemu nyingine ambazo wapembuzi yakinifu wataona kama ndo ingefaa kwa maendeleo ya watanzania na si kwa faida ya mawaziri wenye dhamana na makampuni ya nje yanayopewa ukandarasi na serikali iliyochoka hata haiwezi kuona tofauti ya 3000 na 30000!
   
 13. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  tatizo si hela, inategemea kipaumbele ataweka wapi km atakuwa siriasi kwa hilo solution itapatikana tu.
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1:
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  akifufua reli na foleni za hapa mjini zikapungua sio tu tutamkumbuka bali hata akitaka kugombea urais 2015 tutamsupport:A S thumbs_up:
   
 16. S

  Soki JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Na hayo yote ayatekeleze ndani ya miaka 4 iliyosalia! kwani baada ya hapo kuna uwezekano MKUBWA wa kuwa na mabadiliko makubwa ya kihistoria ya uongozi wa nchi hii, hii ikiwa ni pamoja na wizara, idara, nk lakini zaidi sana SERIKALI na system kwa ujumla na sina hakika kama atakuwapo katika hiyo system mpya itakayokuja!
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mkandara kule voda kuna dada ake Januari je yupo tayari kumuumbua dada ake kampuni hailipi kodi ipasavyo mpaka inazidiwa na chibuku?
   
 18. G

  Gasto Frumence New Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nafasi ya kazi kama clinical officer
   
 19. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Ndugu yangu hiyo ni hela nyingi sana mtendaji wa serikali hawezi kuwa nazo
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,055
  Likes Received: 6,495
  Trophy Points: 280
  Huyo kaka amepona kweli Au analazimisha kufanya kazi tu.
   
Loading...