Hongera mbatia kwa kuchaguliwa kuchukua nafasi ya hamad rashid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera mbatia kwa kuchaguliwa kuchukua nafasi ya hamad rashid

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amina Thomas, May 6, 2012.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kulikua na kila ulazima wa kuchaguliuwa Mbatia kuwakilisha upinzani maana kwa sasa upinzani umekwisha .wabunge wote wanaagalia maslahi yao 2015. hakuna tena anaetetea uozo au kujikomba wazi wazi kwa serikali isipokua wale wanaojiamini kwa usafi. yuko wapi mzee cheyo ambaye alikua anaongea mpaka povu linamtoka kwa kutetea hoja zisizo na msingi mradi tu zimeletwa na ccm. mrema nae ameshasoma alama za nyakati, wapi mama yangu Anne Kilango! angalau ole sendeka anajitahidi kidogo kuuchuna japo anaishia kuzomewa na wenzie. wabunge wengi wa ccm wanaogopa kutetea upuuzi kwa kuhofia kukataliwa majimboni kwao kwa maana siku hizi hata kijijini wanajua bungeni kunaendelea nini. nani kasema lipi na nani kafanya nini. hapo tunaona kila sababu ya Mbatia kuchukua nafasi ya Hamad Rashid na wale wabunge wote wa cuf ambao sasa hivi hawasikiki tena kuwasakama wenzao wa chadema. kwa sasa bunge lote ni kama limeungana na chadema!
   
Loading...