Kafulila, Bunge lililopita ulikuwepo?

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Kamanda kafulila, kama ukimya wako utaendelea hata katika bunge la bajeti mwezi ujao basi ujue utapolomoka sana kisiasa na malengo ya Mbatia na Ccm yake yatakuwa yamefanikiwa kwa 100% na makinda huwenda akaendelea kukulinda kwa kuwa hutakuwa na madhara tena kwa serikali kama ilivyokuwa mwanzo, lakini upole wako unatokanana na nini hasa? Au unaogopa ukipeleka serikali mbio mbio basi makinda anaweza akakuachia na ukang'oka bungeni? Kama ni hivyo si bora uje chadema ili tuende kwenye uchaguzi mdogo mahali ambapo kushinda ubunge kwako wewe itakuwa 100% , na kuendelea kujijenga zaidi kisiasa na sio kufanya mambo yako kwa woga kama ilivyo sasa?
KAFULILA wewe ni mbunge mmja wapo ambae ulikuwa ukisimama tu bungeni, mimi nilikuwa naacha kazi zangu na kukusikiliza, ulikuwa very interesting but now ukimya wako unaelekea kwenye njia isiyo sahihi!
Namnukuu Zitto Zuberi kabwe "Kafulila tunamkaribisha Chadema" mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom