Chama chetu cha mapinduziie chajenga nchii"

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,243
Hebu tujikumbushe wimbo huu enzi zile tanzania ikiwa na vijiji tajiri na miji yenye viwanda, watz walikuwa wakiimba hivi "chama chetu cha mapinduziie chajengaaa nchiii njerere aa na mwinyi wajenga nchi kawawa aa sokoine wajenga nchiii. Leo vp mbona hawaimbiwi tena wala wana ccm hawaimbi tena labda ndani ya ukumbi chimwaga TATIZO NINI WANACCM NA WANANCHI WOTE TUJADILI HII KITU
 
wameachiwa waimbe brass band ya jeshi. kuna wimbo mwingine"mabata madogo madogo yanaogelea, katika bustanii", nao jeshini wanaimba
 
Huo wimbo siku hizi uko hizi '' chama chetu chama mapinduziii chaboa nchiii, njereree aaah utuokoeee aaaah, .................................
 
siku hizi huo haulipi sababu hawako kujenga nchi tena,unaotamba siku hizi ni ule wa kikwete amechukua ameweka waaaaaaaaa kumbe wanachukua pesa za walipa kodi na kuziweka kwenye accounts zao waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom