Je, ni haki kufanya sherehe ya kuteuliwa Waziri?


kichwat

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
1,823
Likes
50
Points
145
kichwat

kichwat

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
1,823 50 145
wanatJF.
Tanzania ilipofikia kilele cha ufisadi ilikuwa kawaida kwa mtu akiteuliwa kuwa Waziri au kupewa dhamana kubwa, anafanya sherehe kuuubwa ya 'kumpongeza'. Je, jambo hili ni sawasawa kimaadili? Je, bado lina nafasi kwa sasa?
 

Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,493