Jibu maswali haya kabla hamjamhukumu Maige kwa twiga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jibu maswali haya kabla hamjamhukumu Maige kwa twiga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gotolove, May 6, 2012.

 1. g

  gotolove Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siamini kama twiga wametoroshwa na kusafirishwa kwenda nje ya nchi bila serikali kujua.
  Kinachonifanya nisiamini ni maswali haya:

  1. Ni dhahiri kuwa maeneo ambako twiga wanaishi (mbugani) serikali imeweka watumishi mbalimbali wanaohusika na ulinzi na usalama.
  2.ni dhahiri pia kuwa viwanja vya ndege vyote vinalindwa na maofisa na maafisa wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama yaani polisi, usalama wa taifa, takukuru, uhamiaji nk.
  3. Ni dhahiri pia kabla ya mgeni yeyote kutoka nje kuingia nchini pasi yake ya kusafiria inakaguliwa na wenzetu wa uhamiaji.
  4. Ni dhahiri kuwa mgeni husika lazima atakuwa ameeleza nini amekuja kufanya hapa nchini.

  Sasa mimi sijui kutokana na maswali hayo hapo juu kwanini suala la kutoroshwa twiga wetu anahukumiwa maige peke yake.

  Sijui pia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vilikuwa wapi hadi wanyama warefu kuliko wote wanakimbizwa uarabuni bila mkuu wa nchi kupata taarifa na hata mzee nahodha, hussein mwinyi nao hawakumweleza mkuu wa kaya juu ya hilo?

  Haya hao mbali, mkuu wa usalama wa taifa, igp, na mkurugenzi mkuu wa uhamiaji nao walikuwa wapi?

  Mimi nahisi hao twiga walitoroshwa kwa maelekezo ya mkuu zaidi ya hao mawaziri na wakuu wa taasisi za ulinzi na usalama. Maana bado tunakumbuka wale mbuni walivyoisha pale mjengoni ikulu wakati fulani. Walipungua taratibu hadi kuisha. Au twiga wameondoka kwa mtindo huo huo lakini lawama zote kwa maige? Kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiiii.
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hata Riz one asjue? Hii ni hatari
   
 3. S

  Seacliff Senior Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Unachosema kimesemwa na watu wengi sana hapa JF. Hakuna waziri mwenye nguvu ya kutorosha wanyama hai bila kupata go-ahead ya Ikulu. It's a known fact. Kitu watu wengi walichokuwa wanataka ni kumwona waziri mhusika anachukua responsibility hiyo ya kutoroshwa hao wanyama kwa sababu wamechukuliwa kwenye "watch" yake. Most people know who the main player is and now that the minister has been tossed, we hope he will become bitter enough to name the culprit(s). Actually kama wabunge wataendelea kupress kuwajibishwa kwa hawa wezi kisheria, nahisi hii serikali haitafika 2015. Naona hii soap opera yetu imeanza rasmi. Sit back, grab a drink and keep your eyes peeled!
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Maige alifanya nini baada ya kujua twiga na wanyama wengine wameporwa? alitakiwa kujiuzulu siku ya kwanza alipogundua kuwa wenzake wamemzunguka; angekuwa shujaa!
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Alimjulisha Kinana kuwa Mchungaji Msigwa tayari amesatukia dili alkaji biwa huyo ni Mpinzani achana nae na akisema huo ni upepo utapita tu
   
 6. k

  kagame Senior Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kinana! Mgeni anapokuwa na nguvu ya kimaamuzi kuliko wenyeji ndani ya nchi, mtaisoma hiyo.
   
 7. K

  Keil JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwani Kinana ni nani na anahusika vipi na utendaji wa serikali? Au Kinana ndio Rais?
   
 8. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mwizi hapo ni Kikwete mwenyewe. Hao kina Maige ni kuwafanya "wanyamwezi" tu (mzigo mzito mbebeshe mnyamwezi).
   
 9. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mwanakijiji na wewe una moyo! Hivi kweli unatarajia ndani ya ccm upate mtu wa kujiuzulu kwa kuwajibika? Wote walishakuwa sugu, wakaota magamba mpaka na usoni hawaoni hata haya!
   
 10. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kafie huku na huyo aliyekutuma..watu mnaendekeza njaa kama sijui nini tu..kaendekeze njaa jela:nerd:
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada acha kua msahaulifu namna hiyo.

  Kwa hiyo unataka kutuambia hata Lowassa, Karamagi na Msabaha walionewa kwenye issue ya Richmond??
   
 12. G

  Gasto Frumence New Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli wa mambo ndio huo na kila mtu anaukubali. Mtu mmoja hawez kutorosha twiga kwenda nje. Inawezekana sana kuwa maige yeye alitekeleza maagizo lakin sio uamuzi wake yeye mwenyewe.
   
 13. A

  Abduly Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua nchi hii wa2 wanaishi ile style ya kutoana kafara au funika kombe mwanaharamu apite
  kama kweli wapo serious na hii issue na 2cjewadhania vibaya wahusika wote wafikishwe mahakamani
  la cvyo
  it wll be the fabricated drama
  na 2kijua ni hivyo watarajie kimbunga 2015
   
 14. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  nyumba aliyonunua je, au sio kweli
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Chadema na wao ni wezi tu hao wakichukua nchi wataiba twiga wote. Waimuonee maige tu.
  Chezea wachaga weyeeeee
   
 16. r

  rollingstone Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi unaposema chezea wachagaa, huoni hata haya kuleta mambo ya ukabila, tena kwa hoja za kulazimisha! Hivi kwa nini useme CDM ni ya wachaga, Mbona huku kwetu mBeya ndiyo inatisha kuliko popote, Hivi kwa nini? Unatumia kigezo gani? yaani ndugu yangu hapa nimjawa na jazba, basi tu busara inanisaidia vinginevyo ningevurumisha maslusinde kibao
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo inaitwa political responsibility nadhani nitakuwa nimekujibu maswali yako.
   
 18. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwa mantiki moja tu ya kuwajibika wao tu na 'wengine' kuachwa wakitanua, basi walionewa!
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,960
  Trophy Points: 280
  Maige na Bosi wake wote wanatakiwa wasiwepo uraiani, jela tu ndio mahali panapowastahili
   
 20. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,937
  Likes Received: 37,426
  Trophy Points: 280
  Huyu mkuu wa kaya ndio tabia yake kwani siku zote hutumia walio chini yake na mwisho wa siku huwatoa kafara pale mambo yanapoharibika na ushahidi wa hili ni pale mzee wa richmondi alipomtolea uvivu kwenye moja ya vikao vya chama pale aliposema hakuna jambo alilolifanya bila yeye(mkuu wa kaya) kujua na hata Msabaha naye alidai kutolewa kafara kwenye hiyo kashifa ya richmondi.
  Kiini cha tatizo ni mkuu wa kaya na ndio maana siku zote huwa anakuwa mzito kuchukua hatua mpaka ashinikizwe.Kitu ambacho tunatakiwa kujua huyu bwana yeye hasemwi live kwasababu kila mmoja anajipendekeza kwake ili siku moja apewe ulaji kwa kuteuliwa ktk nafasi fulani na ndio maana hata wabunge wa ccm siku zote hukwepa kumnjooshea kidole moja kwa moja badala yake utawasikia wakisema raisi wetu ni msikivu.Hivi angekuwa msikivu kweli angewarudisha kina Mkuchika na prof.Maghembe?
   
Loading...