Mawaziri walotemwa kupewa ulaji mpya ; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri walotemwa kupewa ulaji mpya ;

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTONILIST, May 6, 2012.

 1. MTONILIST

  MTONILIST Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna kila dalili kwamba mawaziri waliotemwa kwenye baraza la JK baada ya muda tutawasikia wakiteuliwa tena wakishika nyadhifa mbalimbali za serikali ndani au nje ya nchi,viongozi hawa wanaonekana kupoteza mvuto kwa wananchi lakini bado wanaonekana wanafaa ndani ya CCM.Hii ni kutokana na tuliyoyaona kwa wabunge wa ccm walioshindwa katika uchaguzi mkuu 2010.Mfano ni kina J bendera,mwantumu mahiza,
  Nawasilisha kwenu wadau:flypig:
   
 2. s

  slufay JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Si hoja hiyo,,,,,, nipe mmojawapo aliyepelekwa mahakamani na kupewa nafasi ya uongozi kama una kumbukumbu yoyote....... kwa taarifa yako siasa ni upepo huwa unapita ....... wananchi wakikugomea ndiyo mwisho wake..... ???????
   
 3. MLUGURU

  MLUGURU JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 80
  ........ccm!!!!ptu.
  napita tu
   
 4. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wateuliwe hizo nyadhifa zingine kwa vigezo vipi!!!
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Vitumbua vyao vitageuka shubiri 2015.
   
Loading...