Kwa nini Mawaziri hawafanyi Mikutano ya Hadhara kama zamani?

bulylo

Member
Apr 30, 2012
11
0
Habari za asubuhi waungwana? Napata shida kukumbuka ni lini nimesikia au kushuhudia mikutano ya hadhara ikihutubiwa na mawaziri wa awamu hii ya nne,naomba kujua kama ipo,imepungua au hakuna kabisa na kwa nini?
 
Back
Top Bottom