Mambo inayofanya CCM yamenikumbusha mbali sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo inayofanya CCM yamenikumbusha mbali sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, May 6, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kipindi nilipokuwa darasa la nne mie kama mkatoliki nilisomea mafundisho ya ubatizo,nakumbuka siku ninabatizwa kuna sala ambayo ilibidi tuiseme nayo ni "una mkataa shetani jibu ndiyo na mambo yake yote maovu nayakataa" Kutokana na mambo yasiyoeleweka yanayofanywa na CCM ile sala inabidi tuitamke hivi, "NAIKATAA CCM NA MAMBO YAKE YA KISHETANI NAYAKATAA.
   
Loading...