Hukumu ya JJ. Mnyika tarehe 24/05/'12 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya JJ. Mnyika tarehe 24/05/'12

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, May 5, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nawashukuru kwenu nyote ambao mmeendelea kunipa sala na salamu za kutia moyo.Siku ya hukumu imepangwa; 24.05.2012

  SOSI; JJ on Twitter.
   
 2. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aliyemdanganya kuwa tunamuomea sala nani?
   
 3. E

  ELIESKIA Senior Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanataka usishiriki bunge la bajeti na hukumu zao za maelekezo
   
 4. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi ndiye nilimpigia simu kumwambia kuwa mimi na familia yangu na uongozi wa cdm wilayani kwetu tunamuombea,kwa hiyo tuliza mshono wapo tunaomuombea sawa eeeh.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmhhhh.......... Kumbe haya Maneno yako machafu ndio yaliyokupelekea ukapata ban
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Huyu mnyika si ndo yule fisadi wa ruzuku wa pale ubungo!?
   
 7. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  watanzania tupo zaidi ya mil 40, wapo wanaomuombea kwa sala n.k, acha taarabu zako hapaa
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  sio huyu!
   
 9. d

  dada jane JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aliyekudanganya kuwa hatumwombei nani.
   
 10. M

  MAPE2012 Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha propaganda za maji taka wengi tunamuombea kwani ni kamanda tunayemuamini.
   
 11. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata mimi na rafiki zangu na wanangu na mama yao tunamwombea.
   
Loading...