Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ama kweli ukiyastaajabia ya Kivuitu wa aliyekuwa tume ya uchaguzi Kenya utayaona ya Kiravu Rajabu aliyemtangaza Kikwete kuwa Rais 2010, hii imejidhihilisha ni baada ya Mwanasheria wa serikali Jaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zangu Wana Jamii, Ni takribani yapata wiki ya pili sasa Tangu Halimashauri kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo ilipokaa na kupitisha maazimio mengi na moja wapo ambalo ni muhimu sana...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Escorts bags US$40mn prestigious order India Infoline News Service / 14:49 , Jul 05, 2010 Escorts has been chosen to supply 1430 units of its premium range of powerful Farmtrac tractors to...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mzee Warioba imeripotiwa kuwa ameanguka huko Serena Hotel lakini yasemwa ni 'dizzy spell' lakini aliweza kuinuka mwenyewe na kupelekwa hospitali. Hali yake inadaiwa ni mzima na wananchi wasiwe na...
15 Reactions
156 Replies
17K Views
Wanazuoni waliopo katika mikoa ya Iringa na Njombe wameungana na asasi za kiraia katika ukanda na wameapa kutumia taaluma na nafasi zai kuwashawishi wananchi wawafukuze majimboni wabunge wao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wanaharakati,Sisi tunao amini katika mabadiliko,tunaamini ukombozi sahihi na wa kweli huanzia vijijini,maana hawa ndiyo wazalishaji wakubwa wa uchumi wa nchi lakini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani nimesoma kwa masikitiko makubwa taarifa hii ya kuwa China wanatengeneza madawa na kuyasafirisha nje ya nchi yao kutokana na maiti za Watoto. Dawa kama hizo zimekamatwa Korea na kuna hatari...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwamba yeye hajawahi kuongea nae chochote kuhusu uteuzi ujao wala nini... source:TBC habari kwa ufupi saa 10. Taarifa hii imesomwa pia katika Taarifa ya habari ya saa 2:00 usiku kupitia TBC1...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Ndugu, Huu waweza kuwa ni mwisho wa CCM? 1. Baadhi ya wanachama wake wanakikimbia chama. 2. Baadhi ya wanachama wanaobaki hawaaminiani / hawaelewani. 3. Rais anateua wabunge kwenye tume ya katiba...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani mwenye taarifa rasmi anijuze...nikiwa napita mitaa ya Mwenge university hapa Moshi, nimesikia kwenye kituo kimojawapo cha redio kuwa Lema anahutubia Karatu, tena amekuwa recorded....sasa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
kauli hii aliwahi kuitoa mheshimiwa mkinichagua nitaunganisha mikoa ya ruvuma na kigoma katika gridi ya taifa kabla ya 2010.jakaya kikwete ijumaa septemba 16,2005 uwanja wa lake tanganyika...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
source: mpayukaji.blogspot.com Hakuna ubishi kuwa ndoa ya anayeitwa mfanyabiashara maarufu kwa jina la Mustafa Sabodo imeshika kasi. Kwa wanaojua jamaa zetu hawa walivyoletwa na kuchuma...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wanaJF, naomba kupigwa shule hapa. Hivi mtu ukitapeliwa ni kosa la jinai au ujinga nao ni kinga kisheria? Nauliza swali hili baada ya kufikiria kwa kina ni kwanini mafisadi wa radar mpaka leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wengi wanamlaumu JK juu ya kumteua Prof. Mwandosya kuwa Waziri asiye na Wizara maalum. Nadhani upembuzi huo si sahihi. Mie nadhani JK amemheshimu sana Mwandosya. Kumbukeni Mwandosya bado...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndugu zangu, utendaji wa mashirika au taasisi za serikali tunazifahamu, mimi mpaka leo siamini kabisa kama report ya CAG ni sahihi, ninaamini imechakachuliwa mpaka mwisho, Huyu Utoah ndiye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, jana katika kipindi cha 45 kinachorushwa na ITV, waziri (Kazi na ajira) wetu mpendwa Gaudensia Kabaka alikua anahojiwa kuhusiana na ajira alizotengeneza kwa watanzania. Ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni wale walioshutumiwa na CAG... Wanatakiwa kueleza walikotoa mipesa yao...kisha mahakamani. Chanzo: Nipashe Wakuu JF heshima mbele sana, - Well, kitendo cha Rais kuwabadili mawaziri...
12 Reactions
150 Replies
14K Views
Na Lilian Lucas, Morogoro | Mwananchi MKUU wa Mkoa mstaafu, Steven Mashishanga, amesema licha ya rais kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, angetakiwa kupunguza idadi ya wizara kufikia 15...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Waliyo fanya yote mawaziri ambao wametolewa kafara ni yale walo fundishwa na JK kwenye semina ELEKEZI. Wamefanya kila walilo amriwa kufanya na boss wao. Kwanini leo waonekane wabovu na JK...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom