Sijui tunatakiwa tukupongeze waziri wa kazi !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui tunatakiwa tukupongeze waziri wa kazi !!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Trustme, May 8, 2012.

 1. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0


  Ndugu wanaJF, jana katika kipindi cha 45 kinachorushwa na ITV, waziri (Kazi na ajira) wetu mpendwa Gaudensia Kabaka alikua anahojiwa kuhusiana na ajira alizotengeneza kwa watanzania. Ila kilichonifurahisha ni pale aliposema ameweza kuwasaidia watanzania 450 kupata kazi za ndani (house girls & boys) huko Uarabuni. Sasa nilishindwa kujua nimpongeze au nifanyaje? Nasema hivi kwa sababu, ukiangalia takwimu za wakenya wanaofanya kazi nje ya nchi yao ni wengi sana kulinganisha na watanzania. Ila nilifurahisha na juhudi za serikali kuanzisha mchakato wa kuwatafutia wananchi kazi nje ya nchi ila nilishtushwa na aina ya kazi tunazotafutiwa! Kweli watanznia tukawe mahouse boys and girls? Ndo elimu yetu hii tunayopewa inatufikisha kuwa mahouse boys & girls wa waarabu! Wakenya wanalindana sana na kutafutiana kazi kwenye mashirika ya kimataifa, na sisi tujitaidi elimu yetu itufikishe huko badala ya kuja mbele ya vyombo cha habari na kutoa taarifa za kutufanya mahouse boys & girls wa waarabu. Sasa tatizo letu ni elimu inatufanya hatuuziki nje ya nchi au ni nini?
   
 2. i

  iMind JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani. Labda tungejua cv za hao waliotafutiwa kazi
   
 3. s

  simon james JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mama cjui Jk alizingatia vigezo gan kumpa hyo nafac yan anaongea v2 irelevant kabisa. LOWASA Aliposema tatzo la ajira ni bomu. Hiki kibibi kikajitokeza mbele ya waandish wa habari na takwimu za 2002 na 2006. Hv huyu ni.....
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Pia amefanikiwa kuwawezesha wadanganyika wengu kupata kazi katika sekta ya utalii nchini zanzibar
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hizo ajira aende kuwa familia yake akianzia na wanawe kwanza kabla hajakuja kwangu, Ajira zoote zilizojaa Tanzania ambazo wageni wamezishikilia kwanini asiaanzie na ajira za hapa nyumbani kwanza kbla hajaanza kuwapeleka watanzania kunyanyaswa huko Uarabuni na kudhulimiwa? Mi naona Hawa Mawaziri akili zao ni sawa na yule Jinga kubwa Magogoni sijui nani amsaidie mwenzake
   
Loading...