Hatari!! Chaina watengeneza madawa kutokana na maiti ya watoto.

JAPUONY

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
383
186
Jamani nimesoma kwa masikitiko makubwa taarifa hii ya kuwa China wanatengeneza madawa na kuyasafirisha nje ya nchi yao kutokana na maiti za Watoto. Dawa kama hizo zimekamatwa Korea na kuna hatari zikaingia katika nchi yetu. Ushauri wangu, tuwe macho wa TZ na madawa haya ya Kichina. TBS sina uhakika kama wanaweza kugundua vitu kama hivi manake wamekalia kuiba fedha za Wananchi badala ya kushughulikia masuala ya msingi. Kwa taarifa zaidi gonga hapa South Korea seizes capsules containing powdered flesh of dead babies | The Sideshow - Yahoo! News
 
Mbona China na Japan maiti za watoto wachanga ni supu ya gharama kubwa mno,by the way ni dawa gani hizo?
 
thanks for news alert: no one has been arrested???! South Korea are relactant afrading diplomatic clashes???! Western VS ASIA.
 
Jamani nimesoma kwa masikitiko makubwa taarifa hii ya kuwa China wanatengeneza madawa na kuyasafirisha nje ya nchi yao kutokana na maiti za Watoto. Dawa kama hizo zimekamatwa Korea na kuna hatari zikaingia katika nchi yetu. Ushauri wangu, tuwe macho wa TZ na madawa haya ya Kichina. TBS sina uhakika kama wanaweza kugundua vitu kama hivi manake wamekalia kuiba fedha za Wananchi badala ya kushughulikia masuala ya msingi. Kwa taarifa zaidi gonga hapa South Korea seizes capsules containing powdered flesh of dead babies | The Sideshow - Yahoo! News

thanks for news alert: no one has been arrested???! South Korea are relactant afraiding diplomatic clashes???! Western media VS ASIA.
 
Asante kwa taarifa muhimu.

Tafadhali rekebisha kichwa cha habari..hakuna nchi inayoitwa CHAINE, ila iko inayoitwa CHINA, na ndiyo bila shaka unayoizungumzia hapa.
 
Dawa zinatengenezwa na vitu mbambali zikiwemo mimea na wanyama. Sioni tatizo kama hizo dawa zinafanya kile zilichokusudiwa bila kuleta madhara.
 
Bora wazilete huku kwetu, may zinaweza kututoa kwenye huu usingizi na uzuzu tulionao, may be zinaweza kutuchangamsha na kuweza kufanya mapinduzi ya kuitoa serikali ya magamba before 2015..
 
Bora wazilete huku kwetu, may be zinaweza kututoa kwenye huu usingizi na uzuzu tuliokuwa nao, may be zinaweza kutuchangamsha na kuweza kufanya mapinduzi ya kuitoa serikali ya magamba before 2015..
 
Kitu kikishaitwa dawa hata kama kimetengenezwa na mavi kama inaponya na haina madhara ni dawa tu
 
Kama wakisema ndio inatibu kensa kwa mfano, si infant mortality rate ita triple ghafla!!!!
 
Mbona China na Japan maiti za watoto wachanga ni supu ya gharama kubwa mno,by the way ni dawa gani hizo?
kaka kuwa makini naamini wewe unaweza uziwa hizo dawa
kwani jamaa kaandika pale link lakini hukuona
 
Dawa zinatengenezwa na vitu mbambali zikiwemo mimea na wanyama. Sioni tatizo kama hizo dawa zinafanya kile zilichokusudiwa bila kuleta madhara.

Ulishaji wa ng'ombe mabaki yaliyosagwa ya wanyama wenzao ndicho chanzo kikubwa cha mad cow disease. Cannibalism katika wanadamu, kama kula unga wa mabaki ya binadamu unaweza kusababisha ugonjwa sawa na mad cow disease - Creuzfeld-Jacob Disease (CJD), ila sasa sijui tutaita mad human disease! Unakuua kwa namna ya ajabu sana, na vizazi vinavyozoelea kula nyama za watu huwa hata wanapata mutation, ukichaa wa namna fulani kutokana na lesions katika ubongo au vizazi vya hao watu mara nyingine kuwa na vidole vitatu miguuni kama mbuni.
 
Cannibalism katika wanadamu, kama kula unga wa mabaki ya binadamu unaweza kusababisha ugonjwa sawa na mad cow disease - Creuzfeld-Jacob Disease (CJD).

Symptoms of Cannibalism Disease
Kuru disease, also known as cannibalism disease or laughing sickness, is an extremely rare and fatal brain disease first discovered by anthropologists studying the native Fore populations of New Guinea in the early 1950s. According to the National Institutes of Health, kuru is classified under the rubric of transmissible spongiform encephalopathies, also known as prion diseases.
How It Spreads
While cannibalism, or more specifically the ingestion of human tissues or organs infected with kuru disease, is often thought to be the sole means of transmission of the disease, it can also be passed through exposure to the open wounds of infected individuals.
Stage One
During stage one of cannibalism disease, also called the ambulant stage, general coordination begins to deteriorate. The patient may experience symptoms such as an unsteady gait, shaking or shivering, slurred speech and "twitching" eyes. in general, failing coordination begins in the feet, legs and hands and slowly moves upward.
Stage Two
The second stage of kuru disease, or the sedentary stage, is defined by a worsening of stage one symptoms that prevent the patient from walking without support, ataxia or loss of muscle coordination and severe muscle jerking. Additionally a new set of symptoms begins, including depression, fits of laughter and failing mental capacity.
Stage Three
The third stage of cannibalism disease is the terminal stage. At this point the symptoms include an inability to sit upright without support, fecal and urinary incontinence, trouble swallowing and eventually coma and death.
Progression of Symptoms
The incubation period of kuru or cannibalism disease is very long, meaning a person infected with the disease may not begin to experience symptoms for years or even decades. There is no known treatment for kuru disease. Once a patient begins to experience symptoms, death occurs within 6 to 12 months.
 
Asante kwa taarifa muhimu.

Tafadhali rekebisha kichwa cha habari..hakuna nchi inayoitwa CHAINE, ila iko inayoitwa CHINA, na ndiyo bila shaka unayoizungumzia hapa.

Nashukuru, nimerekebisha title japo wewe mwenyewe pia umekosea mie sikuandika CHAINE niliandika CHAINA ha ha ha!!
 
Back
Top Bottom