Wanazuoni Iringa: Watimueni majimboni walio watelekeza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanazuoni Iringa: Watimueni majimboni walio watelekeza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, May 8, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wanazuoni waliopo katika mikoa ya Iringa na Njombe wameungana na asasi za kiraia katika ukanda na wameapa kutumia taaluma na nafasi zai kuwashawishi wananchi wawafukuze majimboni wabunge wao waliohamishia makazi yao nje ya jimbo na kuwatelekeza wananchi baada ya kuchaguliwa.

  Pia wabunge wote ambao hawafiki majimboni kusikiliza kero na kutoa visingizio kuwa wametingwa na majukumu ya wizara na kitaifa.

  Source Nipashe pg 3
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,463
  Trophy Points: 280
  ni vema ungewataja hao wabunge
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hawakutajwa mkuu
   
 4. s

  simon james JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapo wengi sana hata huku Same Magharibi huyu mbunge wa ccm tutamtimua
   
 5. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Dr.Mgimwa lazima akione cha moto 2015 na kama unapita humu bora hata uweke lami barabara ya kwenda ruaha hifadhini, afu na maji kule kata ya Nzihi hakuna, mi nakwambia tu mzee ili ujihadhari manake Lile jimbo kipindi cha ukombozi utatamani ufichame mangalali mana Chadema tutapita popote pale huku tukiimba chadema *2, peoplez poweer!! usiku kucha. NINA HASIRA!
   
 6. A

  A revolutionist Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wanazuoni naomba tuanze na mbunge wa kilolo kwani ni janga kwa wananchi.
   
Loading...