CCM,ikiona inaikomoa na kuidhihaki CHADEMA,ilikiita chama hicho kikuu cha upinzani nchini-'chama cha msimu'.Ikawataka viongozi wa CHADEMA waimarishe chama chao hasa vijijini.CHADEMA...
Kwa muda sasa nimekuwa nikisoma taarifa mbali mbali zinazohusu kambi hii dhoofu kisiasa kuwa kuna vikao vinavyotarajiwa kuanza muda wowote, wakuu na wasemaji wakambi hiyo kulikon na dharula hizi?
Wakuu katika akili ya kawaida isiyohitaji shahada wezi wa EPA, wahujumu uchumi na hawa Viongozi wa Chadema kina J. Nassary, Dr. Slaa, G. Lema na wengine wanaowaelimisha raia wasiendelee...
Hivi kulikua na sababu yeyote ya msingi jk kumteua mzee mwandosya kuwa waziri wakati ni wazi kabisa inaonyesha hali yake kiafya bado haijatengemaa sawasawa??
Je watanzania tutegemee mchango gani...
Jamani nijuzeni mwenzenu. Nimekuwa nikisubiri midahalo ya katiba mpya ambayo iliahidiwa na wana UDASA chini ya Dr. Kitila kuwa itakuwa nchi nzima na tena itakuwa endelevu. Nimesubiri mtu aanzishe...
Jana asubuhi nikiwa katika Chuo fulani hapa Tz kuna Prof. mmoja alituuliza vijana mnataka nchi lakini inaonyesha hamuwezi kuongoza. Akatolea mfano wa mawaziri wa JK waliotuhumiwa kufisadi wizara...
Nilikutana nae Arumeru nikamuuliza swali 'vp Tarime 2015 maana mpo mafahali wawili yeye na Suguta John Heche,nani ni nani ktk ubunge via cdm? Akanijibu 'DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA ITACHUKUA MKONDO...
"CHADEMA isichezee wala kuchukulia kiurahisi wakati wake huu wa kupendwa na wananchi. Isije kujidanganya kuwa itaendelea kupendwa vyovyote vile. Viongozi wake wasije kujivika kilemba cha...
Ufuatao ni waraka wa wanafunzi
wa elimu ya juu nchini kwa
Serikali, kuhusu migomo na
maandamano ya mara kwa mara
hapa nchini. Umeandikwa na
jopo la viongozi wa wanafunzi
wa vyuo vikuu na...
Waziri mkuu wa Libya al Keib pichani.
Habari kuwa ofisi ya waziri mkuu wa Libya Abdurrahim al-Keib imevamia na hajulikani aliko ni pigo kwa serikali mpya NTC. Je tatizo ni nini? Tatizo ni...
08 MAY 2012
Na Agnes Mwaijega
KITUO cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB), kwa mara ya kwanza kimeikabidhi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) cheti cha usimamizi bora wa uchaguzi katika Jimbo la Arumeru...
Nipeni mawazo yenu kwani kIla ninapoangalia bunge nakerwa na mambo mengi hasa hili la mbunge hasa wa ccm wanapopewa nafasi ya kuchangia huanza na neno nakushukuru spika kwa kuniona au kuniruhusu...
Taarifa iliyovuja toka Polisi Tanzania inaeleza kuwa viongozi hao walili wa CHADEMA, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Ndg John Heche, Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari na aliekuwa Mjumbe wa...
Hakuna ubishi kuwa siku hizi makanisa, maduka hata madangulo yanaanza kukosa mpaka ingawa si yote. Hebu fikiria. Kanisa linalojengwa kwa pesa, kwa mfano, ya EPA linakidhi matakwa ya kiroho...
Tue, May 8th, 2012
Tanzania | Wed, May 9th 2012
By In2EastAfrica Staff
Ikulu buildings
President Jakaya Kiwete and his family have no any business relations with a Dar es Salaam company...
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa...
Na Hellen Mwango
30th April 2012
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinajipanga kuchukua dola mwaka 2015 na...
Thamani ya shilingi haipo tena kwani fedha halali sasa ni dola. Kuanzia pango, mishahara, nguo, dawa na mambo mengine.
Kila kona kuna bureau de change. Si vibaya. Ukienda kufanya kazi katika nchi...
Habari za ndani kutoka chanzo cha uhakika zinasema Mbunge wa simanjiro Mh Ole Sendeka atakuwa waziri wa maliasili na utali chanzo hicho kinasema pia agrey mwandi atapewa uwaziri kamili wa tamisemi.
GreatThinkers,
Hivi nani Amiri jeshi mkuu kamati ya ccm,wazee wanaojiita wa mkoa wa dar au yeye na dhamana ya cheo chake?
Tafsiri yangu kukimbilia wazee wa DSM ama kamati kuu za chama zimsaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.