Vigeugeu magamba Magamba..Huyu mwanasheria wa serikali na waziri yule wa sheria kabla ya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigeugeu magamba Magamba..Huyu mwanasheria wa serikali na waziri yule wa sheria kabla ya...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mboko, May 8, 2012.

 1. M

  Mboko JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ama kweli ukiyastaajabia ya Kivuitu wa aliyekuwa tume ya uchaguzi Kenya utayaona ya Kiravu Rajabu aliyemtangaza Kikwete kuwa Rais 2010, hii imejidhihilisha ni baada ya Mwanasheria wa serikali Jaji Fredrik Warema na Waziri Serena Kombani kipindi kile walivyosema oooh Tanzania haihitaji katiba mpya leo au jana nimesoma gazeti sikumbuki ni la mwananchi au ni gazeti gani sio Habari leo maake sina wakati wakusoma gazeti la Kimipasho kama Habari Leo nasikitika
  Sasa nitawaeleza kwa wale ambao hawajasoma kasema oooh kuna umuhimu wa katiba mpya ili wananchi waelewe nini kazi especially kazi za Rais kwa kuteua wabunge na kuwapa uwaziri bila kuapishwa na Bunge kwa kweli pale mie sijamsoma maake kuna kifungu kilisema lazima mbunge akichaguliwa aapishwe mbele ya Bunge ndio aweze kutambulika kama mbunge lkn Warema kasema Rais ana mamlaka ya kufanya kama alivyofanya kwa kuwa katiba inamruhusu!!
   
 2. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Werema akiitwa ikulu akamchamba mkulu mbona anatii.

  hatuna mwanasheria mkuu nchi hii.

  lisu aliwahi kumwambia pale bungeni kwamba upovu wa sheria unamsumbua huyu kihiyo

   
Loading...