Karatu vijijini wamechagua mabadiliko,cecilia pareso [mb] tunda la jamii ya wanamabadiliko 1995 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karatu vijijini wamechagua mabadiliko,cecilia pareso [mb] tunda la jamii ya wanamabadiliko 1995

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakajilae, May 8, 2012.

 1. m

  mwakajilae Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam wanaharakati,Sisi tunao amini katika mabadiliko,tunaamini ukombozi sahihi na wa kweli huanzia vijijini,maana hawa ndiyo wazalishaji wakubwa wa uchumi wa nchi lakini sauti zao zikipuuzwa,basi unatafuta laana kwa Mungu wako au babu zako.
  Cecilia ameanza kazi kwa kuona ni wajibu wake kukaa nao,kuzungumza nao,kupanga nao na kutembea nao ikiwa ni safari juu ya uzazi bora na salama,kilimo bora na chenye tija kwa mkulima,lakini huduma zote za kijamii kwa ujumla.Ataonana na serikali ngazi zote baada ya kuonana na wananchi na makundi yao ya kijamii.
  Kiujumla kuna nadharia ya KISWEDISHI inasema,Waambie Wananchi kwamba Serikali haina haki ya kuwanyanyasa kwa kuwanyima huduma hizi au kuwateseni, pia Unakwenda Serikalini na Kuwambia Wahusika nimekwenda Kijiji --------nimewaambia nyie wajumbe wa SERIKALI hamna haki ya kuwatendea haya mliyo wafanyia.mumekiuka sheria na taratibu za nchi hii.
  Uwajibikaji ni LAZIMA KWA MSTAKABALI WA MAENDELEO YETU.
   

  Attached Files:

 2. s

  simon james JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja!
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa nini asimwige marehemu regia anakuja yeye mwenyewe kuliko kuletewa habari na mtu baki.Fanya hivyo dada angalau uzibe pengo.
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Seconded 100%,namwaminia sana huyu dadaangu!pamoja sana mbunge,ushirikiane vyema na Natse pamoja na wananchi watu wa karatu pamoja na watanzania wenzetu waliokosa tumaini na serikali lenye kuwafisidi na kuwafilisi!Tunahitaji mabadiliko ya kweli!pamoja twaweza!peoplesssss..........!
   
Loading...