Mh. DC wa Mbozi aliyejiuzulu amjibu RC Mbeya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. DC wa Mbozi aliyejiuzulu amjibu RC Mbeya!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtokambali, May 6, 2012.

 1. M

  Mtokambali Senior Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwamba yeye hajawahi kuongea nae chochote kuhusu uteuzi ujao wala nini...

  source:TBC habari kwa ufupi saa 10.
   
 2. s

  sheky Senior Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingekuwa vyema habari ikawa na kina ili kuleta mashiko... it is so loose, too haning...
   
 3. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hueleweki!
   
 4. N

  Ndevumzazi Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eleweka kwanza' hao tbccm ukuona leo subtitle yao badala ya raia wameandika raisi wa ghana akamatwa na unga dar?
   
 5. Zeng

  Zeng Senior Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Huyo kasoma alama za nyakati lakini pia huo ndo uwajibikaji wenyewe kwa mtu anayeona kuwa yamemshinda na hawezi kuendelea na kazi.
   
 6. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Kama DC amejiuzulu bila ya sababu za maradhi, basi kuna jambo kubwa linachemka ndani ya system. Tusubiri tuone
   
 7. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  huyo DC ni bonge la TISS..lazima kuna kitu kinakuja hasa kwa upinzani..unaweza ukasikia metimkia cdm....hapo ndipo pa kumwangalia kwa umakini...ni mtu aliyeupata ukuu wa wilaya akiwa na umri mdogo sana wakati wa mkapa na amekuwa akisavaivu kila awmu mpaka hii ya jk!
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...umenifanya nifikirie zaidi mkuu, linaweza kuwa igizo tu.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Yangu macho na masikio.
   
 10. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,110
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  asilegeze huenda yakamkuta ya Kombe asipokuwa mjanja
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Bongo miracle.
   
 12. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  CDM wasipokuwa makini na hili wimbi la hawa TISS kuingia kwenye chama basi matokeo yaweza kuwa hasi na wala si chanya. Unajua nchi hii inaharibiwa sana na hawa TISS kwa kuwa wote wanafanya kazi za chama tawala yaani CCM. So hapa huwa wanafanya kazi kwa maagizo ya chama tawala.
   
 13. M

  Mtokambali Senior Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ni kwamba ilikuwa muhtasari wa habari kama ulivyoona chanzo ni tbc. Bahati nzuri wameirudia usiku huu. Hope umeipata in full! Mie niliona kichekesho bosi mkubwa kama RC kushushuliwa hadharani...
   
 14. M

  Mtokambali Senior Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hivi kweli eee?!!
   
 15. wwww

  wwww JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Taarifa hii imesomwa pia katika Taarifa ya habari ya saa 2:00 usiku kupitia TBC1. Nimeisikiliza kwa makini lakini kilichonishitua ni kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndg. Abbas Kandoro kusema kuwa Mkuu huyu wa Wilaya ya Mbozi ndg. Gabriel Kimoro alikuwa na taarifa kuwa hivi karibuni Rais atateua wakuu wapya wa Wilaya na yeye anajua kuwa hayumo kwenye orodha hiyo.

  Kwanza kabisa napingana na kauli hii ya Mkuu wa Mkoa na kumuona kama mpiga ramuli au mganga wa kienyeji kwa sababu zifuatazo;
  1. Mkuu wa Wilaya hawezi kujua kabla ya kutangazwa na Mhe. Rais kuwa hajateuliwa kuendelea na nafasi yake.
  2. Mkuu wa Mkoa pia hawezi kujua majina ya Wakuu wa Wilaya wanaotarajiwa kutangazwa na Rais. Yeye nani kamwambia kuwa Ndg. Kimoro hajateuliwa na Rais kama sio umbea tu?
  3. Ndg. Abbas Kandoro kusema kuwa Ndg. Gabriel Kimoro ana taarifa ya kutoteuliwa kabla ya Mhe. Rais kutangaza majina huku ni kupiga ramuli.
  3. Mkuu wa Wilaya katoa sababu za msingi kabisa za kuachia ngazi, kwanini Kandoro anapingana na sababu hizo?
  4. Huyu Kandoro tangu aingilie kati sakata la Mabango ya Matangazo ya VODACOM yaliyong'olewa kwenye mji wa Rujewa baada ya kushindwa kuyalipia namuona kama sio mtu makini na inanilazimu hata kutafuta CV yake. Inawezekana watu wa Mbeya wameletewa Mkuu wa Mkoa kilaza.

   
 16. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kimoro ni mla rushwa mkubwa asiyenauwezo wa kiuongozi, alibebwa sana na Sumaye, wanamtandao wa kikwete walianza kutishia ukuu wake wa wilaya! lakini magendo ya kahawa mbichi ndio yaliyomtoa nishai kenge yule.
   
 17. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  TISS mkubwa aliyekula yamini na magamba haaminiki, anatafuta njia ili akai-chacha wangwe nguvu ya umma!
   
 18. K

  Keil JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kandoro anajaribu kuficha aibu ya Boss wake (Ikulu) ya uzembe kwamba huu ni mwaka wa pili, mkuu wa wilaya hajapewa barua ya uteuzi. Hii ni aibu kubwa sana na inaonyesha ni kwa kiasi gani nchi hii inaendeshwa kienyeji. Kwa mazingira kama hayo, hakuna Mkuu wa Wilaya ambaye atakuwa anawajibika ipasavyo wakati hajui fate yake.

  Utetezi wa Kandoro unazidi kuivua nguo Ikulu, kwanza Kandoro alijuaje kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi hayumo kwenye orodha ya wakuu wa wilaya wapya? Pia huyo Mkuu wa Wilaya alijuaje kwamba jina lake halimo?

  Ukishaona utetezi unazaa maswali badala ya kujibu hoja, maana yake ni kwamba majibu yaliyotelewa ni ya kisanii. Kwanza Kandoro anajibu kama nani? Maana Kandoro sio mamlaka inayohusika na uteuzi wa wakuu wa wilaya. Kandoro alipelekewa barua kwa ajili ya taarifa tu na wala hatakiwi kujibu chochote.

  Katiba bomu, Sheria za Nchi bomu, Kanuni za Utumishi bomu, Kanuni za Matumizi ya Fedha nazo ni bomu, na Uongozi wa Taifa nao Bomu! No wonder kila kitu hakiendi, watu wakiingia Magogoni wanajifanyiia mambo kwa jinsi wanavyotaka wenyewe maana hakuna kinachowafunga!
   
 19. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  hakuna chochote kujiuzulu kwake kunatokana na ulevi wake wa kupita kiasi kunakomsababishia hata kujikojolea, nakumbuka mara ya mwisho kabisa alishindwa hata kuwepo kwenye ugeni wa M/rais KUTOKANA na ulevi.
   
 20. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  apambane kweli kweli.
   
Loading...