Mzee Warioba aanguka ghafla Serena Hotel; yadaiwa ni uchovu; ni mzima

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
07_11_48yg7b.jpg


Mzee Warioba imeripotiwa kuwa ameanguka huko Serena Hotel lakini yasemwa ni 'dizzy spell' lakini aliweza kuinuka mwenyewe na kupelekwa hospitali. Hali yake inadaiwa ni mzima na wananchi wasiwe na hofu yoyote.

Vyanzo vya kuaminika toka eneo la Serena Hotel vimethibitisha tukio hilo na kutuhakikishia kuwa mzee Warioba anaendelea vizuri na tukio zima linahusishwa na uchovu.
 
Wakuu,

Taarifa ambazo zimenaswa toka Serena Hotel ni kuwa Judge J. S. Warioba (Mwenyekiti wa Tume ya Katiba) ameanguka ghafla pale hotelini na sasa amekimbizwa hospitali.

Sipendi kuandika 'tetesi' za kuanguka kwake isije ikachukuliwa kama kuihukumu hoteli lakini muda si mrefu ukweli utajulikana.

Tumwombee afya njema mzee wetu
 
Itakuwa ni uchovu wa kawaida tu katika kujipanga kwa ajili ya majukumu mazito ya kukusanya maoni ya watanzania.Aekua na mambo mengi kwa hiki kipindi kifupi,nafikiri hakupata muda mzuri wa kupumzika.Just thinking loudly!.
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Similar Discussions

Back
Top Bottom