Kosa ni la JK,sio mawaziri wake

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Waliyo fanya yote mawaziri ambao wametolewa kafara
ni yale walo fundishwa na JK kwenye semina ELEKEZI.

Wamefanya kila walilo amriwa kufanya na boss wao.
Kwanini leo waonekane wabovu na JK akiibuka shujaa
wa kupumzisha watu?
 
roger that, hata yeye ni mmoja wao, anatumia mabilioni ya shilingi kwa ajili ya garama za safari na maisha yake, mwanae ridhiwani ana mali nyingi za dili ambazo kuna mkono wa jk.
 
Back
Top Bottom