Ahadi nyingine bwana !!!! Alimuradi tu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi nyingine bwana !!!! Alimuradi tu!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mageuzi1992, May 8, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  kauli hii aliwahi kuitoa mheshimiwa

  mkinichagua nitaunganisha mikoa ya ruvuma na kigoma katika gridi ya taifa kabla ya 2010.jakaya kikwete ijumaa septemba 16,2005 uwanja wa lake tanganyika kigoma. '''''''''
   
 2. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,706
  Likes Received: 7,961
  Trophy Points: 280
  Namtetea katika hili. Hayakuwa maneno yake, ni kosa la wanaomwandikiaga vitu vya kusoma mbele za watu
   
 3. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Hata CCM inakiri kuwa ahadi alizozitoa JK katika chaguzi zote mbili hazitekelezeki!

  Ushindi wa JK ulitokana na rushwa, wizi wa kura, vitisho kwa wananchi nk.
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Bila kusahau mahakama ya ustazi
   
 5. B

  Bigman 2012 Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jk akiongea inakuwaga kama kweli vile, kumbe!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. p

  pomoni Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata waseme vipi ahadi ni ahadi, lazima itekelezwe.
   
 7. S

  Starn JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwani huwa hasomi hotuba kabla ya kuhutubia?
   
 8. S

  Starn JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  red: Si kweli
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  nimekubali avator yako
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hamkuelewa maana ya gridi

  wakati ule ukimwi ulikua unaitwa gridi.... sasa jibu unalo:wacko:
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa ni saa 17:13...
  Naikumbuka hii
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wananchi walikuwa hawajapiga vigelegele muda mrefu nini mheshimiwa akaamua awanyanyue?
   
 13. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,736
  Likes Received: 1,447
  Trophy Points: 280
  Kwa kudhani unamtetea angalia umemuongezea na kosa jingine. UZEMBE. (kuwa ni mjinga, sio mtu makini kwa hiyo mwisho wa siku anakuwa mtu wa makosa++)
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mimi na wewe chadema, na sijawahi kukupinga hadharani, lakini kwa hili naomba nisiwe mnafiki . . UMENIKWAZA!
   
 15. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  wote ni walewale! Aliyekuwa mwandishi na msaidizi wa raisi (hotuba) ni Makamba Jr, yaani January!
   
 16. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Gang Chomba kumbe upo !? Nilikuwa nakusalimia tu!
   
 17. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Amekukwaza kwa kuipenda avator yangu?
   
 18. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Machinga complex temeke na kinondoni,wakati ile ya ilala nssf wamekula hasara 10bn!mwaka 2015 mbali sana!
   
Loading...