Hivi kutapeliwa ni kosa la jinai?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
wanaJF, naomba kupigwa shule hapa. Hivi mtu ukitapeliwa ni kosa la jinai au ujinga nao ni kinga kisheria? Nauliza swali hili baada ya kufikiria kwa kina ni kwanini mafisadi wa radar mpaka leo hawajafikishwa mahakamani pamoja na waingereza kurudisha chenji. Nimeshindwa kupata sababu za msingi nikafikiri labda walitapeliwa na ugunduzi ulivyojua hilo wakaona matapeli warudishe chenji hawa waliotapeliwa waachwe tu. Nashukuru kwa mchango
 
Back
Top Bottom