Ni kweli LEMA yupo Karatu leo??

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
Jamani mwenye taarifa rasmi anijuze...nikiwa napita mitaa ya Mwenge university hapa Moshi, nimesikia kwenye kituo kimojawapo cha redio kuwa Lema anahutubia Karatu, tena amekuwa recorded....sasa kwa sababu nilikuwa na haraka nikakimbilia JF kuona kama kuna BANDIKO lolote linalohusu mkutano wa hadhara wa Lema huko Karatu, nimekuta hola....ni kweli au ni hotuba za zamani tu?????
 
kweli dogo lema anapendwa! tusubiri walioko huko karatu!

Nilishakemea hii tabia ya kujipostia hapa jamvini kwa lengo la kujisifu, kwa nini msitumie majina yenu ili tuwahoji?
 
Kuna chuo kikuu kinaitwa mwenge hapa tanzania?

Wewe naye....badala ya kujibu hoja unaanzisha thread nyingine tena....Mwenge university college of Education, a Constituent College of St. Augustine University of Tanzania....uliza lingine....!!!!
 
Nilishakemea hii tabia ya kujipostia hapa jamvini kwa lengo la kujisifu, kwa nini msitumie majina yenu ili tuwahoji?

Probably my understanding ability is too low to understand what you meant to say....but I did not write this thread for the aim of praising myself, by the way nilikuwa nauliza if its TRUE. What I know is that you're Pro-ccm, and anything about CDM and its followers it HURTS you very much. I know if I could ask about Nape or Maalimu self you could contribute positively. But be positive for anything which contributes to the growth and prosperity of your nation, do not be against even for the things which are productive to your country. After all you don't have to contribute to each and every thread in JF......

STK ONE....
 
Usikariri dogo! nani wa kujisifia ndani ya JF?

TUTOR B; Thank you for understanding...mbona huyu anayejiita "Tume ya katiba" yeye hajatumia jina lake kweli? At least I have dared to put my real photo kwenye avetor yangu.
After all "ANAKEMEA" yeye kama nani?
 
Ninavyojua,chadema walikuwa ni mkutano juzi uliofanyaka viwanja vya mbowe,viongozi wote wa cdm walikuwepo na mkutano ulikuwa na watu nyomi km kawaida!sasa ya lema tena sijui leo,ngoja tutapata ukwel!ila mkutano wa nn tena leo wakati ulifanyika j2?
 
Wadau nipo Karatu, japo nipo kwenye msiba naona pako kimya, ngoja nianze kufatafuta umbea nitawajuza
 
Ulikemea kama nani humu, au huwa unatoa mapepo.

Usikute ana majini yake home...si kuna thread moja aliwahi kujitambulisha kuwa ni wa zeji....anadhani kila kitu ni kukemeia...kazi kweli kweli????

but sijapata jibu la swali langu...wote tumehama kwenye maada iliyotakiwa kujadiliwa....!!!
 
Wadau nipo Karatu, japo nipo kwenye msiba naona pako kimya, ngoja nianze kufatafuta umbea nitawajuza

Ni wewe pekee ambaye umerespond kwenye heading....thank you brother....wengine wote wamejikuta wakibebwa na U..J..I..N..G..A wa tume ya katiba na mawazo yake finyu...huyu jamaa atakuwa anatumika kuvuruga mind za watu humu jf.
 
Sipati picha uko moshi unakimbilia habari za karatu.Hongera nimependa mbio zako
 
Ninavyojua,chadema walikuwa ni mkutano juzi uliofanyaka viwanja vya mbowe,viongozi wote wa cdm walikuwepo na mkutano ulikuwa na watu nyomi km kawaida!sasa ya lema tena sijui leo,ngoja tutapata ukwel!ila mkutano wa nn tena leo wakati ulifanyika j2?

Thank you brother....hata hivyo kuna UZI mmoja anaozungumzia Nassari kutinga kituo cha polisi mkoani arusha inasemekana alikuwa na LEMA, so pengine radio niliyosikia walikuwa wanafanya flsh back for what happened in j2. Thank in advance....
 
Sipati picha uko moshi unakimbilia habari za karatu.Hongera nimependa mbio zako

Kwani hata kama wewe upo Dar au sijui wapi ulikojichimbia, habari zote unasoma humu JF ni za hapo ulipo? Umejidharirisha kweli, tena hasa umeudhalilisha uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja.....I doubt about you being a GREAT THINKER...au U - magamba umekuzidi...maana nyie mkisikia habari za Lema na CHADEMA mnaugua na kukosa raha....pole...utapona 2015 baada ya uchaguzi maana hapo ndiyo tutajua mbivu na mbichi....!!!!
 
Ni wewe pekee ambaye umerespond kwenye heading....thank you brother....wengine wote wamejikuta wakibebwa na U..J..I..N..G..A wa tume ya katiba na mawazo yake finyu...huyu jamaa atakuwa anatumika kuvuruga mind za watu humu jf.

Usijali, Tume ya Katiba analipwa posho kulingana na pumba zake
 
Back
Top Bottom