Siku za Mwisho Miti yote huteleza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku za Mwisho Miti yote huteleza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WILSON MWIJAGE, May 7, 2012.

 1. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Huu waweza kuwa ni mwisho wa CCM?
  1. Baadhi ya wanachama wake wanakikimbia chama.
  2. Baadhi ya wanachama wanaobaki hawaaminiani / hawaelewani.
  3. Rais anateua wabunge kwenye tume ya katiba kinyume na sheria.
  4. Rais anateua wabunge (wateule), anawatangaza kuwa mawaziri na kuwaapisha pasipo kuwa wabunge.
  5. Rais anamteua waziri wa Zanzibar kuongoza wizara isiyokuwa ya Muungano (Wizara ya Afya - Dk. Mwinyi)
  6. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kutoa tamko kuhusiana na mabadiliko ya baraza la mawaziri
   
 2. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye blue pana kera sana
   
 3. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  kIDUMU cHAMA cHA mAPINDUZI! kIDUMU! nA KITAENDELEA KUDUMU IWE KWA HAKI AMA KWA DHAMBI! kIDUMU
  hawa jamaa wamepanga kutuingiza kwenye machafuko kuanzia 2015.
   
 4. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ifike wakati watanganyika tudai haki zetu. Mbona hatuna waziri kutoka mainland kwenye serikali yao? Muungano gani huu? May its an affiliation. . .
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hap kwenye red. Imewakera hata wanaccm wenyewe, hasa wale waliotegemea wangeongoza hiyo wizara. Ni jambo la kushangaza Tanganyika yenye watu milioni 43 imkose mtu wa kuongoza wizara hadi tukodi Zanzibar yenye watu takriban 1 milioni.

  Kwenye Kijani, kauli ya Nape imesababisha wanaccm wahame kijiji kwa kijiji pamoja na ofisi yao kwenda CHADEMA. Nape ni Kiongozi wa chama, inakuwaje anatoa tamko la mabadiliko ya baraza la mawaziri?
   
 6. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ndugu yangu acha ushabiki,
  Tanganyika haiwezi kuwa na watu 43m ambao wanaweza kuwa mawaziri.
  Kumbuka idadi hiyo ni pamoja na watoto, wanafunzi, vichaa na wendawazimu.
   
 7. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  yangu majicho....
   
 8. K

  Kwitu Kumpepo Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa CCM ndiyo mwanzo wa CDM. Acha wakanyagane kwa KASI, ARI & NGUVU yao mpya kuelekea KUSAMBARATIKA. Tumethubutu, Tumeweza na Tunazidi kusonga mbele, ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA JK
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Hata waliomjaribu Mungu kwa kujenga mnara wa babeli walijikuta hawaelewani lugha,bado tutashuhudia mauzauza mengi....
   
 10. melxkb

  melxkb JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
  Wewe umenilazimisha kucheka kwa kuona jinsi binadamu anavyoweza kutapika thru kuandika *****!!
  Kwani wapi umeona pameandikwa kwamba watanzania mil.43 wote wanafaa kuwa mawaziri??????????????????????????????

  Gamba limekufunika vibaya mno, kimbia haraka uingie kwenye timu ya ukombozi kabla mlango haujafungwa!!
   
 11. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  In short JK ana kera sana, kuna mambo anafanya mpaka mtu unakaa unajiuliza hivi huyu ni rais au ni nani... Anyway, ndio imeshakula kwetu, ingekua nchi zingine sasa hive angekua RIH, otherwize tusubili 2015..
   
 12. melxkb

  melxkb JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waliomwaribia sana ni wale waliomtangaza hadharani kwamba ni chaguo la Mungu!!!
  Naona sasa Mungu ameamua kujipambanua kwamba hawi shirika na dhuluma na hujuma na ubadhirifu na manyanyaso kwa umma wake.

  Tazama sasa Mola wa haki anautia umma wake Roho ya ujasiri na nguvu huku Farao akizidi kushupaza shingo na moyo wake kuwa mgumu asijue kuwa anguko lake kuu limekaribia kwa haraka sana, na tazama bila hata kujua Mola amemuacha akawateua mawaziri amabao wako upande wa umma na ma-M4C yenye nguvu ya kutisha. Na tazama Jeshi na Polisi wamenyongonyea mioyoni mwao huku wakiwa njia panda wasijue pakwenda, mara ghafla, tazama Mola anawainua mioyo yao kama mtu yule aliyezinduka kutoka kwenye ndoto ya kutisha na mara wote wanakimbilia kwa M4C huku wakishangilia kama kiwete aliyepona ghafla, People! People! People! People! People! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! power! Power! power! Power! Power! poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!

  Mara kila mtanzania hataki ajulikane kama amewahi kuwa au kuiunga mkono CCM, wote wanaimba Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!

  Mara ooh wengine hao nje wanapanda ndege za kukodi na kuvuka mipaka wasionekane kamwe!!!!!
   
 13. m

  motema yapembe Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hii kama drama tungeitengenezea movie ingevutia sana.!
   
Loading...