Hoja hii iliondoka kutokana na kuanzishwa wakati JF ikiwa katika marekebisho:
Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano inatamka wazi kuwa Tanzania ni nchi moja na Jamhuri ya Muungano ambayo ni sheria ya...
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema Tanzania inahitaji muda zaidi wa kujipanga ili kujikita kikamilifu katika mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Amesema Tanzania ni nchi kubwa...
Jana Katika taarifa ya habari ya ITV kuhusu mafuriko ya Mara, niliona mzee Nimrod Mkono akiwaambia wananchi wake kuwa anaenda kupambana na viongozi kwani hadi jana walikuwa hawajaenda kuwatembelea...
Heshima mbele wakuu,
mkuu wa nchi atavunja recodi tena baada ya ile ya miezi miwili iliyopita aliyotoka ulaya na kuunganisha Botswana moja kwa moja,safari hii ataelekea zake kwa mkuu sana Obama na...
Waziri anayeusika na mawasiliano, nadhani muda umefika sasa wa kutunga sheria za kuyabana haya makampuni ya simu kwa kutuadaa wananchi na promotion hewa,
hawa vodacom wanasema fb na twitter bure...
Jana jumapili tarehe 6 Mei 2012 nimekabidhi zaidi ya vitabu mia saba (700) kama ishara ya kuanzisha Programu ya Taarifa iitwayo "Toa Kitabu Kisomwe", hii ni miezi mitatu baada ya kusambaza kwa...
Baadaya kuzuiliwa na polisi hatimaye CDM kupitia makamanda wake LEMA NA OLLE MILLYA kuhutubia umati wa watu Same katika jimbo la Same Magharibi. Shughuli katika mji wa same zilisita na wimbo wa...
na Waandishi wetu
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), amesema kuwa hana nia wala dhamira ya kuchochea na kuhamasisha mgawanyiko katika nchi kama ambavyo imekuwa...
Wasalaam, JF.
Mh. Zitto Kabwe, mbunge machachari lakini very controversial sometimes, he moves mountains and he breaks new gounds and raises good debates on any topic and wins sometimes support...
Niko kikazi hapa maswa na meatu kwa takriban wiki mbili sasa.
hukumu ya kupinga matokeo yaubunge wa meatu ilipotoka nimeshuhudia mwamko mpya wa siasa ktk mkoa huu mpya.
Wasukuma ( wanatunzu)...
AWATAKA WATUMISHI WAMUOMBEE ASIADHIRIKE
na Daniel Mwita
​
SIKU mbili baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwaapisha mawaziri wapya, aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara aliwaaga...
Waziri mkuu Mizengo Pinda leo amezindua mwenge wa kuwamulikia mafisadnasema hivyo kwasabau dhana nzima ya mbio za mwenge za kuleta matumaini na kudumisha umoja,mshikamano na upendo miongoni mwa...
Jamani, ni hivi karibuni kulikuwa kuna chama kipya cha siasa kimeanzishwa na mwana JF mmoja maarufu ajiitae MzeeMwanakijiji, alikiri kukisaidia (sikumbuki kivipi). Kama sikosei kinaitwa Acdc, kama...
Wadau kauli hii ilitolewa na mh Nagu alipokua kwenye kampeni pamoja na baadhi ya mawaziri wengine walioshiriki katika kampeni arumeru east.Mh Mbowe alimuuliza Waziri mkuu na akajibu kua it waz...
WAPONDA UTEUZI WA MA-DC
na Waandishi wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetishia kuweka hadharani majina ya mawaziri na wabunge ambao walikuwa tayari kujiunga na...
Vihelehele wanaofurahia kuona serikaliinafanya vibaya kwa ajili ya maslahi yao ya kisiasa bila shaka walifunguathread hii huku wakiwa na shauku kubwa ya kuona kimenuka nini huko ZNZ!! Wenyemapenzi...
Nimeangalia baadhi ya majina ya wateule hawa na kinachoonekana sio tu kwamba Ukuu wa Wilaya ni maalum kwa ajili ya makada wa CCM waliokosa pa kwenda bali pia mwendelezo wa mambo ya kifisadi ndani...
Wana JF nilikuwa napita maeneo ya RUCO (Ruaha University College) niliwasikia wanaharakati pale wakilalamikia kitendo cha mkuu wa mkoa kutaka kuchakachua tume ya uchaguzi chuoni hapo kwa kuwaambia...
Hebu leo tudadavue wateuliwa WOTE wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika NGAZI ZOTE kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa. Kwa haraka utagundua madaraka ya rais ni makubwa mno! Tuweke kwa...