Nimrod Mkono: Tutadai haki hadi "Kieleweke"

Ikwanja

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
2,082
581
Jana Katika taarifa ya habari ya ITV kuhusu mafuriko ya Mara, niliona mzee Nimrod Mkono akiwaambia wananchi wake kuwa anaenda kupambana na viongozi kwani hadi jana walikuwa hawajaenda kuwatembelea na hivyo kuwa hakuna tathmini yoyote iliyokuwa imefanyika. Kwa msisitizo Mzee Knono alitumia kauli ya CDM ya "hadi kieleweke"

My Take: Naona tangu Mkono asaini ilie hati ya Mh. Zito mambo yake yote ni according to the M4C, je inawezekana pia amepata KITUBIO?
 
History is more than the path left by the past. It influences the present and can shape the future......muda umetimia kama hukujiandaa...bac umechelewa.....
 
Katika wabunge wa Magamba ninaowakubali ni huyu bwana, amejitahidi sana kuleta maendeleo jimboni mwake ana uchu na uchungu sana wa maendeleo...
 
Is he still in the list of shame? manake inaonekana amesoma vizuri alama za nyakati
 
Kikwete angempa Wizara Huyu mzee. Kwani hana njaa za ajabu ajabu kama za akina Ngeleja.
 
HAKUNA KITUBIO: huyu mzee ndivyo alivyo siku zote, fuatilia michango yake Bungeni utaona tangu 2000 alipoingia kwa mara ya kwanza amekuwa mtu wa msimamo mzito. JANA alinifurahisha sana aliposema, "Serikali hawajali wananchi wake... tutapambana hadi kieleweke." NAKUOMBEA SANA na kwa kweli wewe ni mpambanaji: (1) ulifukuza MAKABURU mgodi wa Buhemba; (2) uligoma jimbo lako kugawanywa ukisema 'MUSOMA VIJIJINI haihitaji wabunge wawil, inahitaji HALMASHAURI YAKE' sasa halmashauri itapatikana kupitia BUTIAMA WILAYA mpya; (3) umejenga mashule ya mfano kwa kutafuta wafadhili, na huhitaji sifa kwamba wewe ndiye uliyejenga, kwani wafadhili hao unawataja hadharani kupitia www.musomarural.com; na (4) niseme nini, nakuombea tu...

Jana Katika taarifa ya habari ya ITV kuhusu mafuriko ya Mara, niliona mzee Nimrod Mkono akiwaambia wananchi wake kuwa anaenda kupambana na viongozi kwani hadi jana walikuwa hawajaenda kuwatembelea na hivyo kuwa hakuna tathmini yoyote iliyokuwa imefanyika. Kwa msisitizo Mzee Knono alitumia kauli ya CDM ya "hadi kieleweke"

My Take: Naona tangu Mkono asaini ilie hati ya Mh. Zito mambo yake yote ni according to the M4C, je inawezekana pia amepata KITUBIO?
 
Kwa kuwa alisaini form za zitto, ni dhahiri kuwa hao viongozi wa magamba wameanza kutompa ushirikiano.
 
Katika wabunge wa Magamba ninaowakubali ni huyu bwana, amejitahidi sana kuleta maendeleo jimboni mwake ana uchu na uchungu sana wa maendeleo...

Huyu ni mbunge wa Ikizu aka butiama na si wa MUSOMA VIJINI.Kama kaleta maendeleo jimboni mwake kule majita kafanya nini na wapi?? afu mbaguzi kweli m*****zi huyu
 
MH.Mkono amekuwa akitumia sana busara katika kufanya na kujadili mambo. Hata mimi jana milipokuwa naangalia ITV nilishangaa sana wananchi wanaishi katika hali ile. LAKINI KWA UPANDE MWINGINE serikali inatia sana aibu. Kwenye mambo yasiyo ya msingi kama vile safari za nje zisizo na tija kwa Taifa hili, fedha nyingi inatumika sana.

  • Je ni kweli kwamba serikali imeshindwa kutoa hata msaada wa awali wa Mahema(tents) na walau chakula?
  • Nini faida ya kamati ya kamati ya maafa ya wilaya/ mkoa?
 
History is more than the path left by the past. It influences the present and can shape the future......muda umetimia kama hukujiandaa...bac umechelewa.....
nilikuwa napenda sana debate ya history yenye motion "history is the study of the past events"
 
Zile "hedikopta" za wakati wa uchaguzi mkuu, ziko wapi? Nilijua ndoa ni wakati wa shida na raha.
 
.. . kila nikiona jina hili huwa nashindwa kujizuia kufikiria swala la 'NI NANI HUYO ALIYEKUA MFINYANZI MIKATABA MIBOVU MAKUSUDI KUTUIBIA kama taifa.

Kauli hizo hapo juu bure kabisa.

Jana Katika taarifa ya habari ya ITV kuhusu mafuriko ya Mara, niliona mzee Nimrod Mkono akiwaambia wananchi wake kuwa anaenda kupambana na viongozi kwani hadi jana walikuwa hawajaenda kuwatembelea na hivyo kuwa hakuna tathmini yoyote iliyokuwa imefanyika. Kwa msisitizo Mzee Knono alitumia kauli ya CDM ya "hadi kieleweke"

My Take: Naona tangu Mkono asaini ilie hati ya Mh. Zito mambo yake yote ni according to the M4C, je inawezekana pia amepata KITUBIO?
 
My Take: Naona tangu Mkono asaini ilie hati ya Mh. Zito mambo yake yote ni according to the M4C, je inawezekana pia amepata KITUBIO?
Penye nyeusi pazuri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom