Waziri mkuu azindua mbio za mwenge wa kuwamulikia mafisadi

Mlyafinono

Senior Member
Apr 6, 2012
177
47
Waziri mkuu Mizengo Pinda leo amezindua mwenge wa kuwamulikia mafisadnasema hivyo kwasabau dhana nzima ya mbio za mwenge za kuleta matumaini na kudumisha umoja,mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania na nje ya mipaka yetu imekufa badala yake ni kuneemesha mafisadi. Uzinduzi huo umefanyika mkoani mbeya.
 
Yaani hapo kwa kuwa pinda anaenda mby basi hii inaonyesha Jk anaogopa kuwenda baadhi ya mikoa, je hapo tuna Rahisi?
 
Rais arusha akija ni siri afu anaishia ngurdoto ama AICC.mwenge wenyewe kibatari bt kinafuja mabilioni
 
Back
Top Bottom