Sheria maalum kwa makampuni ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria maalum kwa makampuni ya simu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gbrother, May 11, 2012.

 1. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waziri anayeusika na mawasiliano, nadhani muda umefika sasa wa kutunga sheria za kuyabana haya makampuni ya simu kwa kutuadaa wananchi na promotion hewa,
  hawa vodacom wanasema fb na twitter bure bt still wanakata hela,
  tigo ongea 1/4 sh kwa sekunde, wanakata zaidi ya hiyo.

  Tunaitaji sheria sasa.
   
Loading...