Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nape Nauye leo katika Uhuru FM ametema sumu kali juu ya kauli ya Mh. Nassari juu ya Arumeru kuwa nchi. Ameihusisha jambo hilo na sera ya majimbo inayoinadi CDM. Amesema CDM sera ya ukanda...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Source Star Tv habari Bwana Kibamba na wanaharakati wamenukuu baadhi ya kauli za viongozi wa nchi na wale wa katiba inaonyesha wanaweza kuandika mambo wanayoyataka wao na si wanannchi. Kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
mbunge wa iringa-mjini awaasa wananchi waache tabia ya kuvunja sheria za nchi makusudi kwa tumaini kwamba mbunge wao atawasaidia. my take: xafi xana mchungaji. kuvunja sheria za nchi siyo sera ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakulima wa Vijiji viwili ya Nemalulu na Naberera Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wanajiandaa kuandamana mpaka Ikulu kama kigogo mmoja wa serikali tawala ataendelea na msimamo wake wa kuizuia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu naona ile sera ya majimbo itabebewa bango sana na ccm na kuihusisha na kauli ya nassari kwa kusema ni mpango wa kaskaz kujitenga.
0 Reactions
138 Replies
11K Views
NAPE NNAUYE KATIBU MWENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NAOMBA UNIFAFANULIE PAMOJA NA WATANZANIA WENZETU HUHUSU HUU UTATA WA MISIMAMO YAKO. TOKA JUZI UPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI UKITOA UFAFANUZI...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Wajumbe, Serikali yetu sikivu inaendelea kuaminika na kukubalika na wahisani, baada ya report ya CAG na mjadala bungeni wahisani wameazimia kumwana mafweza. WASHIRIKA wa Maendeleo nchini...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Nukuu kutoka gazeti la Mwananchi la Mei 11, 2012 "Asifia uwazi Balozi Sefue alisema sio kweli kuwa hivi sasa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma vimeongezeka bali hali hiyo inaonekana zaidi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
IMENISIKITISHA SANA JANA KUONA VIONGOZ NDANI YA CCM WANATANGAZA KUANDAMANA KUPINGA KAULI YA NASARI AMBAYO mBOWE ALIIFUTA RIGHT THERE!!!!!!!. BAADA YA KUTAFAKARI SANA NIMEGUNDUA WANAMPANGO WA...
1 Reactions
2 Replies
941 Views
Inasikitisha sana kwa chama tawala kuendelea na mpango wao wa kuvuruga amani ya nchi hii hali watu bado tunataka aman ambayo ililetwa na wazawa na wazalendo wa taifa letu. Ivi hii kauli ya vijana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Malengo Performance High quality livelihood Fail Peace, stability and unity Fail Good governance...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hatimaye unabii unaelekea kutimia. Lakini naipenda sana operation ndogo nyingine ya M4C ambayo naweza kuiita mkono wa kushoto wa M4C. Hii ni operesheni ya kimya na kwa kweli naipenda kwa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Akizungumzia tamko la CCM lililotolewa na Nape kukanusha tuhuma za kuhusika na mauaji, Mnyika amesema, Nape anaficha ukweli juu ya kuhusika kwa baadhi ya viongozi wake na mauaji hayo. “Kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi huyu Jamaa ilikuwa mwaka 1958 kawaza haya na leo ni miaka zaidi ya hamsini yanatendeka haya, Swali, je tunaviongozi wa kuwaza hivi?
15 Reactions
71 Replies
8K Views
Wadau, tupate taarifa toka kwa mweshimiwa sana ndugu EL MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amekuwa akifanya mikutano ya ndani na ya hadhara jimboni humo katika kinachoonekana ni kuzima wimbi...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Wakuu Heshimu kwenu! Nimekaa na kutafakari sana kuhusu Azimio la Arusha,ingawa kulikuwa na baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sahihi kwa wakati tulio nao vingeondolewa ila vile vinavyohusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chadema wamekuwa na mtazamo hasi kwa kila alifanyalo JK. 1. Kateua mawaziri, wakasema hawana sifa 2. Kawateua MADC hata kuapa bado, CDM wanalalama kuwa hawafai; Nyie nendeni mkaimarishe chama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Walichalangwa mapanga usiku wa kuamukia 01-04-2012 ambayo ilikuwa siku ya kupiga kura kumchagua diwani kwenye uchaguzi mdogo kata ya Kirumba jijini Mwanza. Kwa mara ya mwisho walionyeshwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaamu wanajamvi, naomba niwasimulie habari za watawala wa Kikerewe. Kabila la wakerewe ni miongoni mwa makabila yaliyokuwa yakitawaliwa kifalme. Wafalme hawa walikuwa dhalimu sana. Mtu yeyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*TAARIFA KWA UMMA* Ninalazimika kutoa tarifa hii ili kutolea ufafanuzi mambo kadhaa hususani... hotuba yangu niliyoitoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya NMC Arusha siku...
23 Reactions
180 Replies
18K Views
Back
Top Bottom