Zitto ampongeza Rais kwa kuwarudisha kwenye Baraza Jipya la Mawaziri Mkuchika na Magembe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto ampongeza Rais kwa kuwarudisha kwenye Baraza Jipya la Mawaziri Mkuchika na Magembe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibori, May 11, 2012.

 1. K

  Kibori Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasalaam, JF.

  Mh. Zitto Kabwe, mbunge machachari lakini very controversial sometimes, he moves mountains and he breaks new gounds and raises good debates on any topic and wins sometimes support of the public lakini wakati mwingine sijui has quick reverse ... Mimi kwa kweli nilimpongeza Mh. Zitto kwa motion yake ya kuwaadabisha mawaziri wafuja pesa za umma. Kwakweli hatua yake ya kutafuta wabunge zaidi ya 70 kwakweli ni hitoria katika nchi hii.....Mawaziri waliotakiwa kijiuzulu ni Maige, Ngeleja, Mkulo, Nundu, Mponda, Mkuchika, Magembe and Chami au Waziri Mkuu kwa mantiki ya hoja ile.

  Waliojiuzungu au kufukuzwa ni Maige, Ngeleja, Nundu, Mponda and Mkulo.....Is this all ? we expected to hear Zitto talk about what next ....kwa lugha nyingine kama hawatapelekwa mahakamani kwa kweli sisi wananchi sasa tutashindwa kujua hasa mantiki ya report ya CAG na Kamati za Bunge akiwepo Zitto.

  Cha kwashangaza Zitto Kabwe, amewapongeza Mh. Mkuchika na Prof. Magembe kurudia kwenye Baraza Jipya eti kwa sababu tu wao hawakujitetea.....kwahiyo Mh. Zitto kwa lugha nyingine ni kama vile hana genuine reasons for his private motion....he does not work the talk.....He is therefore a very dangerous politician citizens need to be very careful for the likes of ZITTO.....

  Ni kama vile alikuwa na personal issues with the ministers walioachwa sijui ni kwa sababu wengi wao ni vijana kama yeye ambao pengine wanawezakuwa na dreams za kugombea urais baadae kama anavyotaka Zitto au kwa sababu pengine wote ni vijana kwahivyo Mh. Zitto hataki au anawivu wenzake wataonekana wana PESA nyingi kuliko yeye.....ujua vijana wanahulka kushinda with fellow youth for a number of reasons....mjini ni sifa sana kwa kijana kuwa na pesa as most rich young person....is big credit.... Is ZITTO playing these kinds of games with the others.....


  Kwa kweli mimi wakati mwingine nashindwa kumwamini Zitto difficult to tell whether is a genuine politician au ni populist tu.....

  Karibuni kwenye mjadala....
   
 2. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ndugu wataka JF tumjadili Mheshimiwa Zitto,Mawaziri ambao ni Mafisadi ama Ripoti ya CAG ama mustakabali wa nchi??
   
 3. U

  Udini Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mada yako ni hiyo quote mengine yote hayana maana, sijaelewa ulichokiandika
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Msimamo wa Mh Zitto mara nyingi ndio huwa msimamo wa JK, sijui ni coincidential!!!

  CDM muongezeeni miaka 10 zaidi ya uchunguzi huyu kijana maana ni very controversial na anafit sana katika mfumo uliopo sasa, labda kwa kuwa aliingia mapema katika upinzani na akaja na hoja za maana za ukombozi ikawalazimu mafisadi kumMANAGE, time will tell
   
 5. K

  Kibori Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa....wewe jadili ulichokielewa .....hizo zingine waachie wengine utazielewa tu siku nyingine
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ukiendelea na hiyo tabia yako basi jiandae kuvishwa kanga siku moja
   
 7. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Kibori,

  Sio vibaya kama ungetuambia Mh. Zitto aliyasema hayo maneno wapi, na ni muhimu kabla ya wewe kutupa tafsiri eleza (kwa kumnukuu) alichosema.

  Tunajidili hoja na sio mtu, itapendeza tukienda hivyo.
   
 8. K

  Kibori Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kwenye misafara ya watu pia KENGE wapo....... discussions kama hizi sio mzaha wewe......keep your words to your wife au husband if you have one.....
   
 9. K

  Kibori Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Soma magazeti a day baada ya kuampishwa mawaziri.....I thought all of us a keep......precisely Mwananchi a day baada ya Mawaziri kutajwa....
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Mkuu uwe na staha. wewe ushavishwa kanga mara ngapi? Saburi lako!
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye red: ndilo tatizo langu. na hadi sasa sina jibu!
   
 12. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Uzushi mwingine bana, hapa Zitto unamwandama at no reason
   
 13. c

  chingunduli JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mfumo kristu unakusumbua wewe sio bule
   
 14. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  source ya habari yako ni nini??? kama ni kipindi cha generali on monday basi utakuwa uketudanganya. Alichosema zitto ni kwamba kati ya mawaziri wote waliotakiwa kujiudhulu ni mkuchika pekee ndio aliandika barua ya kujiudhulu lakini wengine wote walijitetea hivyo anadhani hiyo ndo sababu iliyomfanya rais amrudishe zitto kwenye baraza la mawazili
   
 15. K

  Kibori Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Allah, huyu katumwa nini.....nani kataja mambo ya ukristu hapa........peleka udini wako kwenu....
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  zitto na rafik yake wanapenda kupigwa picha za magazeti kama wema sepetu. mapopulists.
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kwanza siya dhambi kujitetea, pili ivi uyu zitto anajuwaje content za barua za kina maige, aliziona hizo barua? tatu mkuu cna uhakika kama 'kujiudhulu' ni kiswahili sahihi.
   
 18. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acheni kumlolnsa zito maloloso na zito yataisha ilini mnakela nyinyi TAWATUKANA.
   
 19. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  huelewiki
   
 20. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu naye....! hapo kwenye red mwalimu wako alikuwa nani?
   
Loading...