Mkuu wa mkoa anataka kuchakachua tume ya uchaguzi RUCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa mkoa anataka kuchakachua tume ya uchaguzi RUCO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zema21, May 11, 2012.

 1. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wana JF nilikuwa napita maeneo ya RUCO (Ruaha University College) niliwasikia wanaharakati pale wakilalamikia kitendo cha mkuu wa mkoa kutaka kuchakachua tume ya uchaguzi chuoni hapo kwa kuwaambia wote waliopo katika tume wajiuzulu, bila kuwapa sababu za msingi ya amri hiyo..
  Jambo hilo liliwachefua wanaharakati kwani ni wazi wanataka kuwaingiza magamba katika tume hiyo kwa maslahi ya kifisadi
   
 2. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  mkuu nyuzi yako mbona iko juu juu. Kweni uchaguzi wa viongozi unafanyika lini?. Au kuna jembe gani hapo wanaliogopa?. Au ni wewe zema21 unapima upepo?
   
 3. M

  Mlyafinono Senior Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutamtoa baru,uchaguzi wa seriakli ya wanafunzi mkuu wa mkoa unamhusu nini?
   
 4. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Well,inadaiwa uongozi uliopita ulikuwa CDM na kamati pia inaonekana kuwa na damu ya cdm,nadahni wanafanya efforts sasa uongozi upatikane tokea ccm lkn vurugu za rc zimegonga mwamba na uchaguzi unaendelea kama kawaida chini ya kamati ya awali
   
 5. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  walioko iringa watasema zaidi. Ila nasikia ccm wilaya via bw mbosa wamemtuma kubadili upepo wa chadema vyuoni. Mkwawa walimzomea. Hatujui kama na hoja za wanahabari alijibu au nao wameahidiwa udc.
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kataeni, kama vipi gomeni.
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni yule mama toka Songea!
  Ila kura si siri
   
 8. l

  lupeke Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba wanahangaika kuweka mtu wao. Kwa sasa serikal yote ni cdm
   
 9. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  RUCO iko chini ya SAUT, na misimamo Ya Kitima kuhusu mambo ya nchi uko wazi.
  Mkuu wa mkoa hana nafasi hapo.
  Wamesahau kuwa ni vyuo vya SAUT tu ndo vilifungua b4 uchaguzi mkuu 2010, kinyume na amri ya serikali?
   
Loading...