Wizara moja, Mawaziri 7 ndani ya miaka 7: Hivi ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara moja, Mawaziri 7 ndani ya miaka 7: Hivi ni kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by liverpool2012, May 11, 2012.

 1. l

  liverpool2012 Senior Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza hivi ni kweli wizara ya maliasili na utalii imekuwa na mawaziri 7 ktk miaka 7 ya utawala wa kikwete.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Imekuwa na mawaziri 4. Maghembe, Mwangunga, Maige na Kagasheki.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Hivi Mamkwe hajawahi kuwa waziri wa maliasili chini ya utawala wake?
   
 4. l

  liverpool2012 Senior Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama nimemsikia kagasheki kasema saba wakati anakabidhiwa office ya mama mkwe alikupo pale.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo Mamkwe alikuwepo kwenye list ya mawaziri 7 siyo!
   
 6. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 439
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ma Mkwe alikuwa Fedha baraza la kwanza.
  Nadhani alianguka na Lowasa hakurudi tena.
  Alipata kuwa Utalii ngwe ya mwisho ya mkapa, i supose.
  Hapo pia mmemsahau Dialo, ndo waziri wa kwanza wa utalii wa Kikwete.
   
 7. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,991
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Whatever the number, results are the same. Ni UTAFUNAJI kwa kwenda mbele.
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,294
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  Ukijumlusha na manaibu waziri wanazidi 10
   
 9. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,212
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dialo alitaka kuisafisha wizara akakutana na kigogo "Severe" aliyewekwa kwa makusudi maalumu ya kufisadi hifadhi zetu. Badala yake Dialo ndo aka "fyagiliwa" mbali baada ya muda mfupi!
   
 10. O

  Oswald Laswai New Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwaombee waliopewa hivi punde Balozi na Naibu wake wanyonge hao wadau maana wamesema wao hawatakubali kunyongwa bali watanyonga. Pengine panaweza pakawa pazuri ndugu zangu
   
 11. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 989
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  tatizo ni pesa
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,767
  Likes Received: 4,147
  Trophy Points: 280
  Mawaziri wote wa CCM; wanaweza kubadilisha mawaziri kila mwezi haijalishi...
   
 13. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,924
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  na lengo kubwa la kubadili mawaziri wakati ule ilikuwa kumuondoa dialo. Jk hapendi mtu mwajibikaji hata siku moja,maana walishikwa pabaya within a short period of time. Yeye anapenda watu wanaokuja na taarifa za kwamba nyara zimeshaibiwa ili awaite ikulu na kuwaambia lete ulichopata. Hataki wanaosema tumezuia nyara zisiibiwe.
   
 14. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,924
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  hamna kitu,wote wale wale wanajaribu kutafuta sympathy ya umma. Kwani magufuli kaishia wapi zaidi ya kupiga kelele na kuzindua barabara zisizokuwa na fedha kwa ajili ya ujenzi? Kama wewe ni mtendaji mzuri huwezi kukubali kuwa kwenye serikali ya jk zaidi ya kufuata ulaji.
   
Loading...