CHADEMA yavunjavunja ngome ya CCM Same | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yavunjavunja ngome ya CCM Same

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba C, May 11, 2012.

 1. B

  Baba C Senior Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baadaya kuzuiliwa na polisi hatimaye CDM kupitia makamanda wake LEMA NA OLLE MILLYA kuhutubia umati wa watu Same katika jimbo la Same Magharibi. Shughuli katika mji wa same zilisita na wimbo wa kila mtu ni PEOPLES POWER TU.Zaidi ya wanachama 300 wamehamia na kupewa kadi.Hizi ni salamu tosha kwa David Mathayo ambaye ama kwa hakika ameshaona mwisho wake 2015.
   
 2. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Liberation ! liberation !
   
 3. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  weka picha ili tuone kusanyiko.
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,654
  Likes Received: 3,301
  Trophy Points: 280
  Yuko wapi james aliyetuahidi picha na hata video?au bado mkutano unaendelea?
   
 5. L

  Leonard Akaro JF Gold Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Good job, right move,
   
 6. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,667
  Likes Received: 17,712
  Trophy Points: 280
  CCM hii kitu wanaita ''kutugawa kikanda'', no one to stop M4C, wameshindwa usalama+CCM leo wataweza CCM peke yao
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Good job wakuu. Watazua kila lugha ya uchochezi lakini watu akili kichwani.
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  from karatu to dar!tic tic tic tic........ october 2015
   
 9. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nimeshabaini kuna uhuni unafanyika,,hawa wanatuhadaa sana! but why?
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,736
  Likes Received: 1,447
  Trophy Points: 280
  Very well done. CDM songa mbele!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuna watu siku hizi ukiweka picha wanalalaka kweli hawatakitena picha....
   
 12. paty

  paty JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  M4C will put them down , one region after another
   
 13. M

  MELODY Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4C Haizuiliki hata wakiomba wanajeshi marekani! CDM watafute kijana anayekubalika achukue hilo jimbo kilainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  Kweli CDM imeanza kwa kuajiri vijana!
   
 14. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hakuna namna ya kuzuia hili wimbi la mageuzi, cha msingi ndugu zangu wana gamba muanze kujifunza kupelekana nao la sivyo wimbi litawabeba.
   
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Wanaujua moto Wa makamanda Wa Chadema,wanauheshimu hata PM Mizengo Pinda anaujua na tunamshukuru alishatangaza kuogopa mapema.Peopleessssssssss!!!!!
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chadema kwa sasa ndio roho/tumaini pekee la Watanzania wote.
   
 17. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  sawa lakini cdm wajipange sana'
   
 18. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  We siku nyingine usihusishe watanzania wote na hao wahuni wa Chadema. Sema Chadema ni tumaini lako na mke wako na watotot wenu tu.
  .
  "MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUIJUE TABIA YAKO".
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Wewe fisadi,hajasema ninyie amesema ni watanzania,wanyonge walioibiwa mali zao waliodhalilishwa kwa kuitwa taifa masikini ndani ya utajiri unaoodhiwa na wachache.
   
 20. z

  zamlock JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Sasa utapingana na sauti ya Mungu? Akisha amua ameamua ngoja vijana wasonge mbele utawakubali pale utakapo waona wameingia ikulu nndipo utakaposema hakika Mungu ni muweza
   
Loading...