Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Orodha ya wateuliwa wote wa Rais wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Soki, May 9, 2012.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hebu leo tudadavue wateuliwa WOTE wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika NGAZI ZOTE kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa. Kwa haraka utagundua madaraka ya rais ni makubwa mno! Tuweke kwa orodha: (1)WAZIRI MKUU (2)MAWAZIRI (3)WAKUU WA MIKOA (4).................... (5)...........
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  spika huchaguliwa na wabunge tokana na wagombea waliopendekezwa na vyama vyao.
   
 3. S

  Soki JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Dah! Nilipitiwa mkuu! Nimelisahihisha hilo.
   
 4. S

  Soki JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kookolikoo, endeleza orodha!
   
 5. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Makamu wa raisi, ila huwa anamchagua mapema kama mgombea mwenza
   
 6. S

  Soki JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wakuu wa Wilaya
   
 7. S

  Soki JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Makatibu Wakuu wa Wizara
   
 8. m

  majanisamwel New Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mwanasheria mkuu...Jaji Mkuu..IGP..Mkuu wa majeshi
   
 9. A

  Andre02150 JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jaji mkuu, makatibu wakuu wa wizara, wakurugenzi wa bodi za mashirika ya umma..
   
 10. S

  Soki JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wajumbe wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya
   
 11. S

  Soki JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mbona kama mfalme vile?!
   
 12. M

  MERCYCITY JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Wakuu wa majeshi na wasaidizi wao wote
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,696
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mawaziri na manaibu waziri
  Wakuu wa mikoa
  Wakuu wa wilaya
  wakurugenzi wa wilaya
  wakuu wa mashirika ya uma
  wanabodi mbalimbali
  wabunge wa JK
  wakuu wa majeshi
  makatibu wakuu wa wizara
  majaji
  raisi anateua nusu ya wafanyakazi wa ngazi za juu serikalini huu ni upuuuzi
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkurugenzi wa TISS, Ma-cancellor$ Vc's, CAG, gavana BOT...
   
 15. benbry

  benbry Senior Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hata msaidizi mkuu wa mambo ya kijamii......hahah. bado kidogo tutasikia h/gal mkuu wa magogoni
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: hata mi nilikua nafikiria hiyo... CHEF COOK wa ikulu, na naibu wake na katibu wake pia...au mpishi hana makatibu...
   
 17. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Vice chancellors, chancellors, DVCs kwenye vyuo vya umma.
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,581
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Duh kweli huyu ni mfalme
   
 19. S

  Soki JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wasaidizi wao kama vile .....
   
 20. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 3,622
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  makatibu wakuu, na wasaidizi wao, manaibu waziri, wakuu wa vyuo, mkuu wa tasisis ya elimu kibaha, wakurugenzi wa TBS, TFDA, TRA, BoT, mKUU WA MAJESHI YA ULINZI, POLISI, katibu mkuu ikulu, mabalozi wa nchi za nje, ndani ya ccm pia huteua watu wake... nafasi ni nyingi sana rais anazoteua
   
Loading...