Chama kipya cha siasa, kimekufa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama kipya cha siasa, kimekufa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, May 11, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Jamani, ni hivi karibuni kulikuwa kuna chama kipya cha siasa kimeanzishwa na mwana JF mmoja maarufu ajiitae MzeeMwanakijiji, alikiri kukisaidia (sikumbuki kivipi). Kama sikosei kinaitwa Acdc, kama nimekosea nisahihisheni.

  Nauliza, hiki chama kimekufa utotoni? Sikisikii, si JF wala mitaani.
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe mwenyewe hata unachokiandika hukijui unataka tukusaidie nini sasa? ni kwa nini usijiandae kabla ya kuleta mada hapa jamvini? chuki hizi kwa Mwanakijiji zinanikumbusha Faiza Foxy.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kimekufa hicho kimbunga cha CDM kimekizoa
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama hukijui kaa kimya kama unakijuwa kitaje, chuki hapo ni ipi?
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sijasikia kifo chake kutangazwa! Inasikitisha sana.
   
 6. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wapo wanaulizia utaratibu wa kujiunga cdm kupitia m4c.
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Hakijafa ila kimepisha tu hii tsunami ya chadema,kilijiandaa kukabana na vyama kama ccm ila kikashangaa kukutana na flood hii ambayo hawakuitegemea,
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kuona wamekufa kabla ya kutambaa!
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbona mnanichanganya jamani, wapo au wamekufa? sasa hayo mafuriko (flood) wali save?
   
 10. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nasiki wapo mikoani wanasaka wadhamini? but mdhamini wao HR amewatosa
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Bado wanatafuta usajili wa kudumu hivyo wanatafuta wanachama ili kutimiza matakwa ya kisheria kwa ajili ya kisajiliwa.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  HR ndio nani?

  Chama hakina hata wadhamini? mie ningewashauri waachane na siasa wafungue kanisa.
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Religion hatred FF will kill you, why not Msikiti?
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naona huna cha kusema, why would FF kill me?

  It is not Mskiti kwa sababu sijaona Muislaam kwenye hicho chama kilichokufa kabla ya kutambaa. Unless kama wataamuwa kurudi na kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu, why not?
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Why church & why not Msikiti?
   
 16. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe mtoa uzi ndo hufuatilii mambo.
  Juzi tu ADC wameomba usajiri wa kudumu.
   
 17. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Hamad Rashid.
   
 18. d

  dandabo JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  mkuu kama unamaanisha ADC basi jamaa wako alive! Juzi jpili nilikua tanga na kwa mara ya kwanza nilihudhuria mkutano wao wa hadhara akiwepo mwenyekiti wao wa taifa Said Miraji. Wanachama wao wengi bado ni wale waliojitoa cuf baada ya Hamadi Rashidi kutimuliwa
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Taratibu utasikia wanachofanya. Mwenyekiti alishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na kitu kizitokichwani. Ili in few weeks utasikia one of the most audacious move ikichukuliwa nao.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  OK, nilidhani huyu bado ni Mbunge Rasmi wa CUF mpaka Mahakama itakapotoa maamuzi.
   
Loading...