Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwalimu Nyerere angerudi na kukuta vingozi wa serikali walipofikisha nchi haliko itoa basi wote wangeishia gerezani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanandugu wa JF, Nimekuwa nikitafakari kuwa tulipoungana mwaka 1964 tulikuwa na mambo 11 na leo tuna mambo 22.Sawa kabisa uhalali wa kuongezeka ni hoja nyingine. Lakini kuna mambo mengi yasiyo ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana nilibahatika kuangalia taarifa ya habari TBC na nikaona nape nnauye akiongea kwa mbwembwe kwamba wanaohama CCM ni wanachama wa kawaida na si Viongozi wa CCM..Takfakuri yangu ni kwamba huyu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana Bodi Huku kukiwa na vuguvugu kali la kisiasa na kijamii hapa Mwanga kuhusu wazazi kuanza kuchangishwa kati ya Tsh 500 - 1000 kwa ajili ya ununuzi wa Chaki Shule za Msingi. Leo tarehe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sophia Simba Aden Rage *Ni katika kesi ya uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga *Rage aeleza bastola yake ilivyoonekana jukwaani *Chakula alichokula Sophia Simba Igunga champonza *Adai aliandaliwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati akisulubiwa na Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Maige alikimbilia kwenye vyombo vya khabari na akawasagia Kamati husika akidai...
12 Reactions
96 Replies
9K Views
Swali raisi inaonekana bado CCM wanaamini wao ndio wenye kuwa na uamzi juu ya katiba ndo maana wameona wang'ang'anie vipengele vyao!Je kuna maana gani ya kuweka tume yakuratibu maoni kwa wananchi...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Hatimaye mauaji ya CCM yamepewa msamiati mwingine zaidi baada ya mbunge wa Ludewa kusema wakati akihutubia wapiga kura wake waliokwenda kumpokea kuwa ‘’ hata kama wakinikolimba leo wataibuka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi nadhani ingekuwa bora kama watuhumiwa wote wa EPA wangesamehewa. Siyo wasamehewe na Rais au Mahakama,ila wasamehewe na wananchi. Watanzania ni bora tujifunze kusamehe,kwa sababu Allah ni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
MBUNGE wa Jimbo la Ilemela, Highness Kiwia (CHADEMA),amefanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa katika Hospitali ya Apollo nchini India, Alhamisi iliyopita. Akizungumza na Tanzania Daima jana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
katiba bora ndo misingi wa taifa na katika swala hili tunahitaji kuacha tafauti zetu za kidini, kichama, nk, ili tumwe na katiba inayotoa maslahi kwa wote. CCM wakitaka ya kwao, CDM ya kwao, TLP...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaamini kwa kuwaapisha baadhi ya watu kuwa� wajumbe wa Kamati ya rais ya Maoni kuhusu Katiba Mpya Rais Kikwete amevunja sheria ambayo yeye mwenyewe aliisaini. Sheria ya kusimamia...
31 Reactions
118 Replies
13K Views
Jamani kama mwanachama wa chadema na mwenye mapenzi mema na chadema,nimemsikiliza shibuda akihojiwa na radio one katika kipindi cha nipashe asubuhi na nimeamini kweli ana kusudia kugombea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa amka na BBC leo asubuhi, Katika mkutano wa G8 unaofanyika huko Camp David Marekani Rais Obama amewakaribisha wageni maalum ambao ni marais wanne kutoka nchi 4 za Afrika akiwemo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Posted by Rweye | May 13, 2012 Ni jana majira ya asubuhi kilipoitishwa kikao cha dharura kufuatia M/kiti wilaya wa CDM kurejea akitokea Dar kulikofanyika mkutano wa baraza kuu Kikao cha kamati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Msimamo wa CCM kuhususiana na Muungano ni huu ulivyo sasa.Msimamo huu ni tofauti kabisa na ule wa CUF ambao ni Muungano wa Serikali tatu.Kwa kuwa mtazamo huu unazua tofauti za msingi kabisa kati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kauli za baadhi ya wanachama wa chadema zinauwalakini na zinatakiwa kuchambuliwa kwa makini, JE! KAULI YA MBUNGE SHIBUDA NI SAHIHI?JE ANA LENGO ZURI KWA CHAMA AU KWA WATANZANIA ANAODAI KUWA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, Ningewaleteeni taarifa yote ya Mkulo kukana kuhusika kwake, lakini nawaleteeni kipande tu maana taarifa yake ni ndefu sanaaa. Narudia tena usizingatie namba hizo nimepunguza baadhi ya...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Welcome back..nliwamiss sana JAMVINI. Kwa mujibu wa Aman Golugwa...mwenyekiti wa kijiji anamotoka mbunge wa ngorongoro Saning'o ole telele ni miongoni mwao..M4C NI NOUMER Kutoka Gazeti la...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…