Kama tunaandaliwa viongozi wa stlye ya kina nape basi taifa letu litapotea.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama tunaandaliwa viongozi wa stlye ya kina nape basi taifa letu litapotea..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakajila, May 18, 2012.

 1. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jana nilibahatika kuangalia taarifa ya habari TBC na nikaona nape nnauye akiongea kwa mbwembwe kwamba wanaohama CCM ni wanachama wa kawaida na si Viongozi wa CCM..Takfakuri yangu ni kwamba huyu jamaa ameshindwa kufanya analysis ndogo kwamba hawa anaowaita wanachama wadogo ndio wanaoijenga CCM?nina wasiwasi na uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo wa huyu jamaa..hajui huwa zile khanga,flana na vitambaa vya chama wanavaa kinani?Sidhani kama TAifa letu litaendelea kwa viongozi wanaoandaliwa wenye vichwa vya namna hii.
   
Loading...