Vua gamba vaa gwanda ndani ya mwanga kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vua gamba vaa gwanda ndani ya mwanga kilimanjaro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTENGETI, May 18, 2012.

 1. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  wana Bodi
  Huku kukiwa na vuguvugu kali la kisiasa na kijamii hapa Mwanga kuhusu wazazi kuanza kuchangishwa kati ya Tsh 500 - 1000 kwa ajili ya ununuzi wa Chaki Shule za Msingi. Leo tarehe 18/05/2012 makamanda wa ukweli aka wazee wa m4c wapo Mwanga wana mikutano 10 ya operesheni hii muhimu kwa ukombozi wetu. nitawajulisha kila kinachojiri hapa Kituri CDM ilipoanzia wilayani Mwanga. Stay Turned
   
 2. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikore mtengeti////inaanzia kituri m4c ya mwanga,,,,,,,,,,nawapa moyo,,,uparen tumechelewa sana ccm wametufanya mataahira yao,,,,,freedom iz coming///////
   
 3. M

  Masanga Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tunawaunga mkono watu wamwanga ni wakati wenu huu wa kuamka na kujitambua kwamba magamba za baba wala mama yenu m4C
   
 4. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pamoja sana mkuu
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Waende mpaka Usangi kwa Msuya !
   
 6. F

  Freekamanda Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aminia makamanda hawamwogopi mtu, hakuna cha Msuya wala nini

  msisahau kufika ugweno( Msangeni, Kifula, vuchama Mangio Masumbeni na Butu)

  huko magamba kibao wanahitaji kuvaa Gwanda!
   
Loading...