CCM hawana ubavu huu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hawana ubavu huu...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, May 18, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,739
  Likes Received: 5,150
  Trophy Points: 280
  Si CCM wala kiongozi wake hata mmoja mwenye ubavu huu.Ubavu wa kuruhusu au kutoruhusu mjadala wa Mgombea binafsi.Suala hilo ni la kikatiba;si la kichama.Watanzania watajiamulia kuwepo ama la.Tena wachunge sana vinywa vyao wanapojadili nini kiwemo na nini kisiwemo kwenye Katiba mpya. Je,tuamini kuwa Katiba mpya imeshaandikwa tayari? CCM watatuletea mapigano makali wasipochunga midomo yao...
   
 2. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umenena.
   
 3. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  well said!thats is the fact.
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  kumbe bado hamjui mbinu za CCM, wametoa tamko ili ionekane ni agenda yao.
   
 5. Walikughu

  Walikughu Senior Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Chama cha mapinduzi kinatakiwa kiwaachie wananchi waamue katiba itakayo wafaa waachane na siasa za maji taka
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 10,486
  Likes Received: 1,587
  Trophy Points: 280
  Great Thinker umesomeka,Nape ni mpuuzi sana ananikera kwa upayukaji wake.
   
 7. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama kweli wana nia hiyo mbona wana rufaa wamekata mahakamani wakipinga kurihusiwa uwepo wa mgombea binafsi? Tena wamekata rufani mara mbili na Mch. Mtikila ameshinda kesi hiyo mara mbili. Hawa jamaa hawajui hata wao wenyewe wanataka nini, wamebaki kutapatapa tu!!!
   
 8. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,106
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nazani nape kasikia kwani anayoyasemaga sijui anatumwaga na nani? , safi.
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 12,810
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  CCM is an old Cow,She can not find her way back home alone.
   
 10. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Ccm wanajitekenya halafu wanacheka, wajifinya halafu wanalia.
   
 11. N

  Nabwada Senior Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimeipenda hii
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hawa wanafiki sana,katiba ya sasa inaruhusu wametumia mbinu chafu mpaka mahakama ikakosa uhuru wa kuamua sasa wanaongea nini kuhusu katiba ijayo?
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Siku zote huwa nasema CDM mna walakini kwenye vichwa vyenu. Hakuna chama kilicho zuiwa kutoa maoni yake, wao wametoa km chama na nyie toeni nani amewakataza? kuweni na fikra pana acheni fikra za maziwa mgando
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,294
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  nape anasema wanataka mgombea binafsi ili watakao toka ccm wasiende upinzani!hiyo tabia ya kusema bora tukose wote
   
Loading...