Watendaji wa ngazi ya chini nao washughulikiwe mapema wanatumaliza

Kwani mafisadi wanaoiba mchana kweupe wanachukuliwa hatua gani? Zaidi zaidi ndo wanapewa hundi za 25mil. za uongozi uliotukuka, wewe jua tu Tz ni shamba la bibi mwenye meno anaingia anakula akishiba anabeba na vingine anaondoka navyo
 
Back
Top Bottom