Chadema yatikisa ngara wanachama 2000 wajiunga

Chadema yatikisa ngara wanachama 2000 wajiunga

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
3,941
Reaction score
903
Jana Chadema wamefanya mkutano wao wa Mkoa wilayani Ngara na baadaye kuunda vikosi nane ambavyo vimepetapanywa wilaya nzima ili kufanya Mikutano ya hadhara. Vikosi hivyo vimepelekwa maeneo ya Shanga, Rusumo ,Murusagamba, Kabanga,Kobero ,Benacco, Rulenge na Mabawe. Baadaye leo jioni KULITARAJIWA VIKOSI VYOTE VIRUDI MJINI NGARA na kumalizia mkutano Mkubwa wa hadhara ambapo makisio ya chini ya kikao hicho yalilenga kupata wanachama 2000 wapya.
Redio Kwizera iliombwa itangaze mkutano huo mkuu
 
CDM, Nguvu ya Ummaa!!!!!!!!!!!!

Ujumbe wa ukombozi wa taifa letu kuondokana na zuluma, minyanyaso ya walalahoi na rushwa za ubwabwa, kanga na kofia uendelee, kijiji hadi kijiji, lango hadi lango na mtu hadi mtu mpaka MAFISADI walioko huko CCM nao wapate kufurahi na roho zao.
 
Taarifa za hivi punde kutoka kwa Bwana Ntare Ensheija Rwakatare (m/kiti cdm mkoa) ni kuwa kila kikosi kina kadi si chini ya 400 za ccm .Hongera Ngara
 
Habari nzuri ila sio ya uhakika!, wamelenga kupata wanachama 2000 au wamepata wanachama 2000? Halafu rekebisha, kobero ni Burundi.

Pipozzz ....pa pappaa pawaaaaa
 
Kichwa cha taarifa hii kinapotosha, hao wanachama hawajapatikana. Ni malengo tu. Tujaribu kuwa wakweli wakati wa kutoa takwimu.
 
Habari nzuri ila sio ya uhakika!, wamelenga kupata wanachama 2000 au wamepata wanachama 2000? Halafu rekebisha, kobero ni Burundi.

Pipozzz ....pa pappaa pawaaaaa

Kobero ni mpakani na watu wote wa nchi hizi mbili wanapaita kobero
 
Kichwa cha taarifa hii kinapotosha, hao wanachama hawajapatikana. Ni malengo tu. Tujaribu kuwa wakweli wakati wa kutoa takwimu.

Nimekuelewa ila najua watu walioko Ngara watadhibitisha, hapa Bwana Rwakatare kasema haya

Taarifa za hivi punde kutoka kwa Bwana Ntare Ensheija Rwakatare (m/kiti cdm mkoa) ni kuwa kila kikosi kina kadi si chini ya 400 za ccm .Hongera Ngara
 
Kama heading kama imekosewa hilo hatujali cha maana ccm imeenda na maji.jana taarifa ya habari itv saa2 niliona jezi, kofia,kadi za ccm zikitiwa katika pipa kuubwa huko morogoro kwenye mkutano wa hadhara!
Habari ya nasari ni kama tone la maji baharini.
 
Nape, Ritz, Rejao, Ribosome eta el kwa nini kila siku watu wanabadili Jiografia ya Tz,? CDM ni chama cha kikanda (Kaskazini mwa Tz). Please keep that spin rolling!
 
Hongera sana sana CDM! Those are currently the most refreshing news emanating from Tz's gutter politics! Kila nukta moja ya nchi lazima ikombolewe, na kila mwenye kuishiriki kazi ya ukombozi natumai thawabu yake haitampotea; sasa wala ktk miaka ijayo.
 
Kazi Nzuri ya bwana mdogo...Kijana Mashishanga! Well done brother!
 
Wlisema CDM inapendwa mjini tu tena na vijana sasa sijui wanajiskiaje wanaposoma hizi habari ama taarifa... yuke daktari wa mkulu anakazi ya ziada sana kuhakikisha bp ya jamaa haipandi wala haishuki kwani hizi sio taarifa nzuri kwake...
 
Back
Top Bottom