Sihibuda Nguzo ya CDM SIMIYU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sihibuda Nguzo ya CDM SIMIYU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, May 18, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huyu Mheshimiwa amekuwa ni lulu miongoni mwa wasukuma mkoani SIMIYU kiasi ambacho uongozi wa Chadema unashindwa kumchukulia hatua kali za kinidhamu kwa kuhofia kufukuzwa kwa Shibuda kunafuatia na mafuriko ya kupoteza wanachama wengi wa CDM na wapiga kura kanda ya Ziwa. CDM twawapa pole
   
 2. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,476
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Ni mapema mno kusema kua wameshindwa kumchukulia hatua, katika democrsia mtu anahojiwa kwanza, kamati ndo kwanza imeundwa.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Katika nyanja za siasa za Tz, CDM ni chama pekee chenye historia na uwezo wa kuchukua maamuzi magumu tofauti na magamba. Arusha walisema madiwani wakifukuzwa CDM itapoteza support, lakini hadi sasa ndiyo inazidi kuimarika zaidi. Hivyo uamuzi wowote utakaochukuliwa dhidi ya shibuda hautakuwa na madhara kwa chama kwani wananchi wataelezwa na watafahamu sababu za uamuzi huo. Inajulikana wazi kwamba uoga wa kuchukua maamuzi magumu ndiyo unaochangia zaidi kuporomoka kwa chama cha magamba.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  So, what is your point for discussion?. This is more informative than discussive statement.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  gamba linapima upepo
   
 6. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mambo yamebadilika sana. Hakuna siasa za mazoea siku hizi, vijana wengi vijijini wamesoma na kupata mwanga. Hawaoni tofauti yoyote kati ya wao na wale walio ndani ya chama tawala, so haiwagharimu chochote kushabikia upinzani hususan CHADEMA. Akiondolewa hatarudi na wote aliotoka nao CCM. Lakini pia CCM hawatampokea kwa mbwembwe tena!!!!! Hilo litakuwa anguko lake la polepole kisiasa! Fanya utafiti kidogo utaona.
   
 7. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  nani ka kwambia huyu jama ni lulu usukumani ? CDM ni chama makini kinaheshimu mtu kutoa mawazo yake lakini hakilazimishwi kukubali mawazo ya mtu . yote anayosema Shibuda ni tamko lake ni si tamko la CDM .subili usikia kama CDM kama hata watafikiria kupendekeza jina lake kugombea Ubunge achilia mbali URAISI na hapo itakuwa mwisho wake. ni matumaini magamba mtampokea tene mkitarajia kugomboa jimbo:baby:
   
 8. K

  KIROJO Senior Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shibuda ndo nani chezea wewe M4C wewe waulize wale ambao imewakumba ,kwa tarifa yako ni kwamba hili ndo kabila la kwanza kukubali mabadiliko,Muulize Cheyo,Chenge,hawa wanajua vizuri sana kwamba wako hatarilini kutolewa na CDM ,kwanza shibuda wala hajulikani huko ni bwabwaja fulani
   
 9. W

  WEMBE WENGE Senior Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Frankly you don't know what is behind your head!!!!!!! Shibuda hawezi kuwa maarufu zaidi ya CDM na wala hawezi kuwa maarufu zaidi ya migodi ya dhahabu, shibuda is nothing worthy, he is like you shit, he will not win if contest against CHADEMA, I tell you!
  jambo la msingi na la msaada kwake (kama unampenda sana) muombee mungu ukichaa umuishe na arudi CCM salama kwa kuwa kule wapo wengi wa aina yake, akina TYSON and the likes.
   
Loading...