Ushauri kwa CHADEMA dawa pekee ya kupambana na Shibuda ni kumdarau na kumpuuza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa CHADEMA dawa pekee ya kupambana na Shibuda ni kumdarau na kumpuuza.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), May 18, 2012.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa CHADEMA na wanachama na wapenzi wa CHADEMA dawa pekee ya kupambana na huyu comedian Shibuda ni kumdharau na kumpuuza.Kwani kutumia muda mrefu kumjadili ni kumpa umaharufu ambao hana.Nakatika vitendo vyake na kauli zake inabainisha ya kua lengo lake ni kupata umaharufu.Huyu ni kichaa amechukua nguo zetu wakati tunaoga kisimani na kukimbia nazo,kitendo cha kumkibiza wakati tukiwa uchi itakua vigumu kugundua ni nani kichaa kati yake na sisi.Ili lengo lake la kutaka umaharufu lisifanikiwe ni kumpuuza.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama walitimuliwa madiwani watano kwa nini huyo mbunge mmoja asitimuliwe?
   
 3. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Potezea na uelewe kumjadili mtu ni moja kati ya kazi za Siasa hasa ukiwa haushiki dola. Period
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shibuda ni kibaraka wa CCM hiyo inajulikana, hatma yake ni 2015 tu. Mwache aruke sarakasi wakati ana taulo peke yake.
   
 5. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,601
  Likes Received: 16,555
  Trophy Points: 280
  Naomba iwe fundisho kwa vyama vyenye busara kuchukua watu waliokataliwa na vyama vyao.Ni vyema kumsoma mtu kabla haujaamua kumchukua
   
 6. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Yaani umenena, huyu jama ni mchekeshaji, sasa mimi nashangaa watu wanakasirika sana, wamwache azeeke, ikifika 2015 watajua la kufanya. Wasipoteze muda hii ni saa ya Ufufuo na Uzima. Wafu wanafufuka.
   
Loading...