Mh Zitto Kabwe- Kuelekea 2015

Mkasika

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
391
155
[video=youtube_share;hJCF04sajs0]http://youtu.be/hJCF04sajs0[/video]
 
[video=youtube_share;s-fz1kJ7S2A]http://youtu.be/s-fz1kJ7S2A[/video]
 
[video=youtube_share;qEy_jXLRSoQ]http://youtu.be/qEy_jXLRSoQ[/video]
 
Kweli mnataka huyu Kabwe awe rais? ni ME ME ME only akiwa Rais atakanyaga wengi kweli ndio tutaona his true colors

Kila kitu ni yeye amefanya; BOT ni yeye; BUNGE KURA ni YEYE; KUONGEA na Kikwete ni YEYE; kila kitu ni yeye

Ni Kidicketa kidogo tunakianzisha hapo.
 
:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Huyu Bwana mahusiano ya chini kwa chini aliyo nayo kwa mafisadi wa CCM huenda asiwe asiwe na tofauti na Shibuda!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
binafsi sina imani na bwana zito, mara mia nitamsapoti hata shibuda nijue moja kwamba nimelamba garasha.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mtasema sana ki kibaraka kwa propaganda zinazofanwa na tanzania daima gazeti la mbowe na haya ndo matokeo yake ila tunachojua chadema hakuna makini kama ZITTO
 
naisi nitapeleka kura yangu CHAUSTA , maana huyu jamaa na shibuda siwaaminii kabisa
 
Huyu bwana hakuna asiyejua kuwa ni kibaraka wa CCM! Anatumika kuivuruga CDM kwa maslahi ya mafisadi wa chama cha mapinduzi!sasa hivi ana utajiri unaotia mashaka wengi!
 
Huyu bwana hakuna asiyejua kuwa ni kibaraka wa CCM! Anatumika kuivuruga CDM kwa maslahi ya mafisadi wa chama cha mapinduzi!sasa hivi ana utajiri unaotia mashaka wengi!
Nnachompenda Zitto,ni kutokuwa mnafiki,alisema posho hataki na kweli hataki.angalia wengine wanakataa gari kwa waandishi wa habari,nyuma ya pazia wanachukua,wanasema jukwaani fulani fisadi,anamfukuza mtu kwa kushindwa kumlipa mke wake sh 10ml.
 
mtasema sana ki kibaraka kwa propaganda zinazofanwa na tanzania daima gazeti la mbowe na haya ndo matokeo yake ila tunachojua chadema hakuna makini kama ZITTO
Na ukweli ni kwamba ni mmoja kati ya viongozi wawili tu wa chadema ambae hakutokea ccm baada kukosa nafasi kwenye kura za maoni za ubunge...!
 
Tunaweza kumchukia Zitto, lakini kuna ukweli mmoja ambao hatuwezi kuufuta. Huyu ni kijana mwenye kiu ya kujua mambo, na hii imemfanya kuwa mtu mwenye weledi wa juu. Binafsi nilikuwa naitilia shaka sana sera ya majimbo kwa kuwa nilikuwa sijapata ufafanuzi wake tangu ilipoanza kunadiwa na Mbowe kwenye kampeni za 2005. Baada ya Zitto kuielezea kwa ufasaha, nami nitakuwa wakili mzuri wa sera hiyo. Wito wangu kwa Zitto (Mmoja wa wanasiasa mahiri wachache) ni kuendelea kupigania haki ili kujenga zaidi imani kwa wananchi. Hayo ya urais, kama alivyosema mwenyewe, muda wake ukifika yatapatikana.
 
Huyu jamaa anafaa kuwa rais wa nchi hii lakini tatizo ni dini yake tu. Sijui kama atapewa maana watu wa dini yake hawatakiwi kushika huo wadhifa na wakiushika moto wake si mchezo. Hupigwa vita kila kona.
 
Back
Top Bottom