Taifa Lina Viongozi Wenye Sura Mbili - Sitta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa Lina Viongozi Wenye Sura Mbili - Sitta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Power G, May 18, 2012.

 1. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  WAZIRI wa Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samwel Sitta amesema taifa linakabiliwa na viongozi wenye sura mbili ambao ni wale wasio waadilifu wanaofikiri kwa kutumia matumbo kwa kujilimbikizia mali na viongozi wachache wanaofikiri kwa ajili ya kuwatumikia wananchi.

  “Msishangae, tuna viongozi wenye sura mbili, wapo wanaofikiri kwa kutumia matumbo yao jinsi ambavyo wataneemeka na kujinufaisha wenyewe, hawa ni wale wabinafsi lakini wapo viongozi ambao wanatumia ubongo katika kufikiri jinsi ambavyo watatumia uwezo wao wote katika kuwatumikia wananchi, mimi ni miongoni mwa hawa,” alisema Sitta.


  Source: Mwananchi


  My Take: Je ni kweli ndani ya ccm Sitta ni msafi?
   
 2. T

  Truenorth Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Sura 2 inaanza na 6 mwenyewe
   
 3. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Yeye mwenyewe anafikiria kwa tumbo.
   
 4. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mzee Sita ni pekee mwenye msimamo.
  Tunamhukumu Mzee Sita kwa ajili ya nini zaidi ya kuinusuru Serikali kwenye kashfa ya Richmond? Kwa ajili ya maslahi ya chama chake ilibidi afanye vile ingawa amegundua kuwa Serikali ya Jk ni lakuvunda ambalo halina ubani.
  Ingawa tunamwona vile, Sitta ni kati ya viongozi wachache wa CCM wenye msimamo.
   
 5. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna kitu anakitafuta huyu.. HAKUNA MSAFI NDANI YA CCM.
   
 6. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Samweli Sura 2 mstari wa SITA
  Ila mwenzake humchokoza sana, hata kumsikitisha, kwa sababu Bwana alikuwa amemfunga tumbo.
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Hadi 2015 tutasikia mengi wallah
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  me nadhan ni sura 3,,,kuna wale wanaowaza kwa MAKALIO AKA MASABURI,WANAOWAZA KWA AKILI NA HIYO YA 3 YA SITA WANAOWAZA KWA MATUMBO
   
 9. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  nakubaliana na wewe mkuu.kula like yangu kwa roho safiii.
   
 10. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uanafiki mtupu........amejitenga lini na mafisadi huyo???
   
 11. T

  Tafakuru Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Samweli Sita.
  Wewe ni kiongozi shujaa na si muoga. Kila mara unajitahidi kutoa kauli za kuonya na muda mwingi kwa chama chako mwenyewe. Ni moyo mzuri ambao tutaukosa baada ya miaka kama 10 ijayo just Filikunjombe hana bei ya kununuliwa au Shibuda angekua bado CCM.
  Bahati mbaya sana Mh Sita, inaonekana huna ule mvuto ambao sisi wajinga wengi wa tanzania tunauhitaji ili tukupigie kura. Kama tungalikua tunastand on issues lazma wewe ni mtu unaetufaa ila kwa ustaarabu wetu wa kuangalia mvuto! haitowezekana
  Tanzania hatufkirii sawasawa
   
 12. m

  mharakati JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Sitta ni mwanasiasa kwa ajali tu, ila yeye nafikiri ni mtekelezaji zaidi au technocrat kukiwa na tatizo ataita watu wataalam wakae na waje na uamuzi wa kutekelezwa..kama ulivyosema mkuu watanzania wanataka mwmanasiasa mtu wa maneno mengi na "mvuto" fulani. Hawajui kua Tanzania inahitaji mtu pragmatic, a technocrat kama Mkapa ila asiye mwizi.
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,521
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  sita ni kiongozi mwenye kuthubutu na jasiri.!
   
 14. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Uchu na uroho wa madaraka ndiyo unaomfanya huyu mzee afikiri kwa kutumia makalio yake.
   
 15. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Ndo maana mimi nimewekeza moyo wangu kwa Yesu kristo mwenye haki na si haya masi hasa.
  .
  "HERI KIJANA MASKINI MWENYE HEKIMA, KULIKO RAIS MWENYE MALI NYINGI ALIYE MPUMBAVU".
   
Loading...