Tunahitaji mwongozo wa CDM kuhusu katiba mpya!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunahitaji mwongozo wa CDM kuhusu katiba mpya!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Simchezo, May 18, 2012.

 1. Simchezo

  Simchezo JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wana JF na wapenda mabadiliko wote; nafikiri huu ni wakati muafaka wa CDM kuanza kutoa somo kwa wananchi juu ya mabadiliko ya msingi kwenye katiba mpya, Serikali ya ccm inaweza isitoe somo hilo kwa makusudi, Hivyo kuanzia sasa cdm msilale anzeni kuwaelimisha wananchi vifungu hatari kwenye katiba ya sasa ili watoe maoni kwenye katiba mpya, cdm sasa njooni na operation mpya 'The Movement For New Constitution"
   
Loading...