Vua gamba vaa gwanda ndani ya mwanga kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vua gamba vaa gwanda ndani ya mwanga kilimanjaro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTENGETI, May 18, 2012.

 1. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  wana Bodi
  Huku kukiwa na vuguvugu kali la kisiasa na kijamii hapa Mwanga kuhusu wazazi kuanza kuchangishwa kati ya Tsh 500 - 1000 kwa ajili ya ununuzi wa Chaki Shule za Msingi. Leo tarehe 18/05/2012 makamanda wa ukweli aka wazee wa m4c wapo Mwanga wana mikutano 10 ya operesheni hii muhimu kwa ukombozi wetu. nitawajulisha kila kinachojiri hapa Kituri CDM ilipoanzia wilayani Mwanga. Stay Turned
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  bado hamna kilichoendelea?
  au ulitaka tujue na wewe upo?
   
Loading...